Ufahamu kuhusu Elimu ya QT

Ufahamu kuhusu Elimu ya QT

The Transporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
3,580
Reaction score
7,203
Niende moja kwa moja kwenye mara, Naomba kufahamu kwa mtu anayesoma QT inatakiwa apate avarage ya ngapi ili awe amafaulu kuendelea na masomo ya kidato cha nne?
 
Asante sana,nimepambana na sasa nasubiri majibu ya kidato cha nne hapa.. Mungu atanitendea.. jitihada zangu nilishaweka.. yeye anisimamie sasa.
Mkuu hebu type mrejesho mkeka umetoka leo vipi muelekeo?
 
Niende moja kwa moja kwenye mara, Naomba kufahamu kwa mtu anayesoma QT inatakiwa apate avarage ya ngapi ili awe amafaulu kuendelea na masomo ya kidato cha nne?
Nafikiri mpaka muda utakua upo labda form six ama CHUO.
 
Back
Top Bottom