Azizi Walter
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 221
- 139
Shukran sana nimepata mwangaNi huduma ya kibiashara ya kulipia Manunuzi kwenda kwa Muuzaji.
Mm natumia huduma ya LIPA NAMBA ya Tigo, kwa siku 1 kutoa PESA ×1 kwa WAKALA ni bure, kwa kiasi chochote. Ukitoa ×2 na kuendelea, wanakata!
Kwa Mteja anaefanya Manunuzi, ni bora na anapata unafuu kulipa kwa Namba kuliko kutoa pesa kwa wakala kisha afanye Manunuzi!
Pia huduma ya LIPA Namba inaruhusu kuhamisha pesa kutoka Kwenye lipa namba yako kwenda BANK
Kwa sasa Limit ni 499,000 unatoa bure. Ikizidi hapo makato kama kawaida, hata kwa muamala wa kwanza.×1 kwa WAKALA ni bure, kwa kiasi chochote.
Ni huduma ya kibiashara ya kulipia Manunuzi kwenda kwa Muuzaji.
Mm natumia huduma ya LIPA NAMBA ya Tigo, kwa siku 1 kutoa PESA ×1 kwa WAKALA ni bure, kwa kiasi chochote. Ukitoa ×2 na kuendelea, wanakata!
Kwa Mteja anaefanya Manunuzi, ni bora na anapata unafuu kulipa kwa Namba kuliko kutoa pesa kwa wakala kisha afanye Manunuzi!
Pia huduma ya LIPA Namba inaruhusu kuhamisha pesa kutoka Kwenye lipa namba yako kwenda BANK
Je mlipaji anaweza kurudisha muamala kama ilivyo kwny mpesa au airtel money?Ni huduma ya kibiashara ya kulipia Manunuzi kwenda kwa Muuzaji.
Mm natumia huduma ya LIPA NAMBA ya Tigo, kwa siku 1 kutoa PESA ×1 kwa WAKALA ni bure, kwa kiasi chochote. Ukitoa ×2 na kuendelea, wanakata!
Kwa Mteja anaefanya Manunuzi, ni bora na anapata unafuu kulipa kwa Namba kuliko kutoa pesa kwa wakala kisha afanye Manunuzi!
Pia huduma ya LIPA Namba inaruhusu kuhamisha pesa kutoka Kwenye lipa namba yako kwenda BANK
Hawachelewi kuigana hawa. Muda sio mrefu na voda nao wataanza kukataTigo Siyo bure Kama pesa imezidi 400,000
Nakatwa mpaka 8,000
Mpango mzima ni m-pesa unatoa kiwango chochote bila makato
Ndio Uwe na TIN no tu.. basEti unaweza ukapata lipa namba bila leseni ya biashara?
Nenda kwa wakala wa airtel unatoa pesa kama ilivyo bure.Wakuu naomba kuuliza jinsi ya kutoa fedha kwenye akaunti ya lipa ya Airtel.
Sawa mkuuNenda kwa wakala wa airtel unatoa pesa kama ilivyo bure.