Ufahamu kuhusu kifo

Ufahamu kuhusu kifo

simba songea

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2016
Posts
1,498
Reaction score
1,216
Habari wana jamvi leo ni siku nyngne pia 2nakutana humu jamvini kujuzana habari mbalimbali.
Kichwa ch habar km knavyojieleza hapo leo ndo mada yetu; Kwanza tujue maana y kifo;

KIFO NA NINI, Kifo ni muendelezo wa maisha ya kiroho(yasiyoonekana na binadamu kimaumbile) pasipo na mwili maalumu. Hyo ndo mana y kifo. Kwnn tunasma yasyoonekana na bnadamu kmaumbile, huwez ukamuona alyekufa manually ukamfata alpo au physcall ukamgusa lazma uapply auto ndo muweze kuonana pengne ndotoni, sala n.k. Ningesema huwez kumuona kabsa bas nisingewek neno maumbile kw kuwa anaonekana na zpo channel ya kumuona alyekufa.

KIFO KNAULAZMA DUNIANI? , hii ndo ishu ambayo bnadam weng 2najiulza, utakuta m2 ana mali nying bilionea lkn akwaza kuhusu kifo anakosa aman au raha. Kifo hakipo kwa ajili ya kukuumiza au kuitapeli hak yako kifo ni utashi wa kuzaliwa upya. Watu tunaktaman kfo kipnd tumezdiwa Mfano 2seme umepalalaizi mwili mzma husemi wala huongei hata hutembei kila ki2 hapo hapo yan km mtot wakt n mtu mzma tena ni wa kuoa au kuolewa ndo bnadamu anaktaman kfo. Lkn tambua kifo hakji unapokihitaj kinakuja knapokuhitaji ndomna tunasema tulimpenda lkn Mungu almpenda zaid.

MANABII, MITUME NA WATAKATIFU WALIOKUFA WANATUDHIHIRISHA KIFO NI MUENDELEZO WA KUISHI. Hiki kipengele pengne ktawaaminisha watu kifo ni muendelezo wa maisha sijui kwavle wameshka imani zao. Nabii ISSA au YESU, Mtume Muhammad S. A. W, Mtume petro Bikira mariamu Ibrahimu. Hawa wote hawapo duniani wamekufa tena miaka ming iliyopita lkn cha ajabu tunawaomba na tunawaeleza shda zetu na na tumeanzisha misikiti na makanisa kwa imani za hao waliokufa. Sasa mamilioni ya bnadamu si wajnga kiasi hicho mpk wawaombe wa2 wasioishi lazma watakuwa wanaishi tena. Ndoma wanawaomb kw majn yao na wanajbiwa.

JE NIKIITWA NA MAREHEMU NIITIKE? Bnadamu akifa 2nalia tena sana tunaomba arud tuwe nae km zaman tukidhan hatutomuona tena. Lkn 2nasahau wakat ss tunashangaa alyekufa nae anatushangaa tunavyomlilia aliye hai. Yesu alimfufua lazaro kwa neno moja tu tena simple"LAZARO TOKA KABURINI" akatii akatoka. Pia alimfufua bint aliyekufa kwa kumuasha aamke akaamka"BINTI AMKA". Neno kifo lmechukua nafasi y aliyelala pengne n bnadam kutak kutofautsha kat y kifo na kulala. Lakn m2 alyekufa tukisema amelala tupo sahihi mana ataamka mda wowote pengne kajipumzisha ndomana tunasema REST IN PEACE pumzka kw amani. Yesu aliwatokea mitume na kuwaambia kwnn mnamtafuta aliye hai kati y waliokufa/waliolala. Bnadamu ni mgumu kukbal alyekufa ataamka ndomana akaamua kuyatenganisha maneno kat y kifo na kulala. Giza likiingia hatusem tunaenda kufa bali tunaenda kulala lkn tujiulza unapolala unayaona ya duniani physically au unamuona wa pemben yako? Si kwmb umefumba macho lkn yale unayoyaona yanafanana moja kw moja ya duniani? Ishu n kwmb unapolala ndo umekufa aliyekufa anakaa mda mrefu bla kufumbua macho lkn alyelala hivyo hivyo.
Marehemu akikuita itika anatak azungumze nawe usimnyanyapae piga nae stori mwambie shda zako atakutatatulia bla shida.

Leo naishia hapa kuna mafundisho mengi km KUNAULAZIMA KUFA? TUKIFA TUNAENDA WAPI? SABABU ZA KIFO, DALILI ZA KIFO.

NOTE: BIBLIA NA QURUAN ZOTE HAZJASEMA KIFO N MWSHO WA MAISHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi nje ya bibilia (sina ufahamu wa quran) wanasema nini juu ya chanzo cha kifo?
 
Mkuu simba songea, sina uhakika kama maana ya kifo uliyotoa ni sahihi.

KIFO ni pale roho inapotengana na mwili.

MAISHA YA UZIMA WA MILELE ni mwendelezo wa maisha baada ya kifo hasahasa baada ya hukumu. Kuna wataoishi milele wakiwa peponi na pia vivo hivyo wataokua jehanam.

Kifo ni mwisho wa maisha ya duniani (kimwili) na pia ni mwanzo wa maisha ya (kiroho)peponi/motoni

Ni LAZIMA tufe ili tupate uzima wa milele.. Lazima tufe ili tuwape nafasi wengine waje waishi au wapitie au waje wajitayarishe na maisha ya uzima wa milele apa duniani. WE ALL LIVE ONCE ONLY.
 
Out Of Topic....

Ni kwanini unajiita Satan?
 
Gud ndomana nkasema kfo n transition y kuendelea kuishi.
 
Back
Top Bottom