Ufahamu kuhusu kifo

hivi kuna mtu yeyote anakumbukumbu ya kule atokako yani kabla ya kuzaliwa..?
 
Andika maandishi yako vizuri, kwa nini uweke 2 kwenye sentesi yako ukimaanisha tu? kuwa makini acha lugha za kijinga kwenye hoja za maana!!!!!
 
Andika maandishi yako vizuri, kwa nini uweke 2 kwenye sentesi yako ukimaanisha tu? kuwa makini acha lugha za kijinga kwenye hoja za maana!!!!!
Nafikiri nilichoandika umekielewa ila kwa vile nmeongelea mambo ya imani ndomana unahisi uhuni. Jiandae kwa mada mpya, hii nilitaka nijue wapi nakosea katika uandishi na upangaji. Don't worry napenda mambo ya socially, philosophy, psychology.
 
Ktabu cha mwanzo knasem chanz ch kfo n mwanadam kutomtii Mungu. Alkatazw kuhusu tunda akala.ndo mwanzo w kfo kw mwanadam

Kifo
Hivi mwanadamu anauwezo gani mpaka afikie kumchukiza Mungu? Mungu hana hisia bwana.hisia /emotion ni moja ya mapungufu kwenye maumbile.Mungu hana mapungufu. Mungu ni hali ya ukamilifu.
 
Hivi mwanadamu anauwezo gani mpaka afikie kumchukiza Mungu? Mungu hana hisia bwana.hisia /emotion ni moja ya mapungufu kwenye maumbile.Mungu hana mapungufu. Mungu ni hali ya ukamilifu.
Naona ulitaka nizungumzie neno hisia ila mi sikuliandika hapo. Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu na hisia. Biblia inasema kwamba Ana hisia kama vile upendo na chuki(zab11:5, yoh 3:16) pia inaeleza Mungu anaweza kufurahishwa na kukasirishwa kwa matendo ya wanadamu zab 78:40-41
 
Kama kuna atakayeweza kuiandika vizuri na kuipanga hii mada itakuwa powa sana. Huyu Simba pacha wa Diamond anaimba imba tu singeli hapa.
 
Ok.kumbe unajaribu kumzungumzia mungu wa kwenye dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…