Ufahamu kuhusu Nissan dualis

beevenom

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
313
Reaction score
432
Habari zenyu wandugu,naomba kufahamishwa wasifu wa gari aina ya Nissan dualis katika ulaji wa mafuta,stability katika road,upatikanaji wa mafuta etc
 
Wadau kimya mno au hii gari haipo duniani
 
Uingereza na South Africa inaitwa Nissan Qashqai,ni gari nzuri sana.Uingereza ni compact SUV inayouza kuliko zote (imeipita hadi Toyota rav4 kwa mauzo.)Agiza mchuma huo
 
hivi injini iliyofungwa hapa si ndiyo ile ile ya kwenye nissan xtrail...??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…