Ufahamu kuhusu nyota za angani

Mzee umepiga kitabu loh!
 
hahahaa upo right
 
Mzee Aliyekusomesha tunamshukuru
 
Mmh
 
Hahaaha hapa sidhani kama utaweza! asa utapanda hicho chombo na kukielekeza wapi kwenda Past?
 
[emoji15] [emoji15]
 
Mwanga mwingne tunaouona ni wa nyota iliokufa miaka mingi iliyopita so tunachokiona sio nyota bali ni mwanga wake ulikua ukisafiri ndio umefika sasa hivi.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] nyota zinakufa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa balaa
 
Waliojenga Pyramid Si waarabu! mafarao ni watu weusi/Negro kutoka Ethiopia, Sudan na East Africa!
 
Hivi mkuu mlitaka nidelete hii post? Nasema na narudia tena nilisharekebisha.
Sikuifuta kwasababu nilitaka mliochelewa kuja kwenye uzi huu mjue hapo mwanzo wengine tulikosea au tulijua vingine kabla hatujaelimishwa. Nadhani umenielewa sasa mkuu, tuko pamoja
Acha masikhara wewe!
 
Hata hili nami naliunga mkono as long as tupo kwenye darasa letu la sayansi ya anga hapa. Kama kuna kitu chochote kinachohusiana na sayansi ya anga chenye muingiliano na spiritual life hatuna budi kukiongelea kwasababu ni part n parcel ya kitu tunachokijadili hapa tangia kwa kuanzishwa uzi huu. So mkuu Kifyatu please, if you have any thing to share with us concerning Quantum physics and consciousness life karibu sana
 
Sawa mkuu. Nasubiri mchango wa mkuu yonga kwanza.

Nitaizungumzia quantum physics kwa kina baadae ila tujue tu kuwa fizikia ya ndani ya atoms (quantum) ni ya ajabu sana. Kuna wakati kitu kimoja kinaweza kuwa sehemu mbili au zaidi kwa wakati mmoja.

Hii saa nyingine inaleta hisia kuwa pengine maisha yetu hapa duniani yana pacha wake kwenye parallel universe (je huko ni mbinguni, au kwenye spirit world).

Nitajaribu kuielezea kwa lugha rahisi na bila ya kuingiza dini au spirituality. Hizo conclusions nitawaachia wasomaji au wataalamu wengine humu jukwaani.

cc neo1
 
Nipe muda mkuu, sherehe za sikukuu zimenitinga kidogo.
 
Shukrani sana mkuu.. Pia naomba ugusie kidogo kuhusu laser light inatengenezwaje na inafanyaje kazi thanks.
 
Nitafurahi sana mkuu maana kuna documentary ya Quantum theory moja nilishawahi iangalia wanaongelea hiki kitu cha being at two or multiple places at the same time nikajua yawezekana kwenye universe nyingine huko yupo fyddell mwingine. Swali linakuja mbona hakuna connection yoyote ile like nijue the way he behaves, feels na je wote tutauwacha uu uhai soku moja na kwa dakika moja?
Nausubili sana uchambuzi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…