asante sana kwa ushauriSina utaalam sana but without kufatilia watakuzungusha mno .waombe namba ya makao makuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unakatwa mkopo mmoja taasisi 2?nawewe upo kizembe zembe embu tia roba huyo meneja uone kama hajasitisha makato.
Hao jamaa ni makanjanja sana, maofisa wao wenyewe form 2 shule hakuna.
Full wezi hao jamaa.Hawa jamaa ni wababaishaji sana niliwahi kukopa 2millioni but nililipa almost 3million, Zaidi yz 50% interest, in short ni wezi