Ufahamu mji wa mashetani Bhangarh Fort

Ufahamu mji wa mashetani Bhangarh Fort

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,774
Reaction score
47,866
800px-Haunted-bhangarh-fort-rajasthan.jpeg


800px-BhangarhFort2.jpeg


Bhangarh ni mji wa kale ulioko huko india uliojengwa katika karne ya 17 ,,mji huu ni maarufu india na duniani kote kwa kua yaaminika ,

Ni the most hounted place(kwa kiswahili sijui) in india,,,yaani hii sehemu ina mashetani mno,,

Mji huu hutembelewa na watalii wakati wa mchana ila usiku hairuhusiwi mtu kwenda huko,kwani walioenda usiku hawakuwahi kurudi

Hakuna mtu hata mmoja anayeishi hapa,,,majirani wa eneo hili wanadai usiku kuna sauti za ajabu zinasikika,

Kuna theories nyingi zinazoelezea sababu ya mji huu kua hivi ikiwemo ya kwamba ,kuna mbabe mmoja aliwahi sema isijengwe nyumba ndefu zaidi ya yake,,ikijengwa kivuli kikaenda kwake basi yatakua matatizo

Nyingine ni kuwa,,kuna mchawi mmoja miaka hiyo,alimpenda mtoto wa mfalme,siku moja binti huyo alipokuwa anafanya shopping,jamaa akamuwekea dawa ya kumfanya ampende ,binti akagundua na kuitupa,,hapo hapo jamaa akapata mazara na kutoa rahana kua"hakuna nafsi itakayo kuja kuishi salama katika mji huu "

Watu wote wa mji huu waliuliwa


There are three legends related to the history of the fort city, which is reported to be haunted, and no one is allowed to remain in the precincts of the fort at night, per a notice board put up by the Archaeological Survey of India at the entrance. [1][7] l;l; One version of the legend is that a sadhu named Baba Balau Nath lived within the fort area. It was his injunction that any houses built in the precincts of the fort should not be taller than his house, and if the shadow of any such house fell on his house, it would result in destruction of the fort town. [8]

In another version, N.K. Sinhai, the wizard who was adept in black magic , fell in love with Ratnavati , the princess of Bhangarh, who was very beautiful, and had suitors to marry her from many royal families of the country. One day the princess, at 18 years of age, went shopping with her friends and was buying Ittar (scent). The wizard saw this and replaced the scent with a love potion in order to ensnare the princess. He offered the potion to her so that she would take a liking to him and marry him. [8][9] However, the princess saw through the wizard's trickery, and when he offered her the bowl of potion, she threw it onto a big boulder nearby. As a result, the boulder started rolling down towards the wizard and crushed him. Before he died, he made a curse that Bhangarh would be destroyed soon and no one would be able to live within its precincts.

Subsequently, Bhangarh Fort was invaded by the
Mughals from the north and the city was surrounded and sacked; 10,000 people lived in the fort city at that time. All the people in the fort, including the princess, were killed. The present state of the fort is attributed to the curse of the wizard and people believe the ghosts in the fort are those of the princess and the wizard.
 
Mkuu kama una dstv ,angalia zeeworld wana kipindi cha hzi stories,,and kuhusu kwenda huko,mi hata mchana siendi aisee
Hahaha yaani huwa naangalia kwenye Really Tv nje ya nchi kwa kweli huwa nashawishika sana kwenda huko kwenye hizo nyumba.

Kweli tunatofautiana kuna nyumba unaweza kuingia bila kujua ni haunted na kuna mizimu yaani unapita chumba ghafla unahisi baridiiii
Halafu unaingia kingine kina joto hapo ndio unaanza kusisimka mpaka nywele zinasimama.

That feeling...
 
Hahaha yaani huwa naangalia kwenye Really Tv nje ya nchi kwa kweli huwa nashawishika sana kwenda huko kwenye hizo nyumba.

Kweli tunatofautiana kuna nyumba unaweza kuingia bila kujua ni haunted na kuna mizimu yaani unapita chumba ghafla unahisi baridiiii
Halafu unaingia kingine kina joto hapo ndio unaanza kusisimka mpaka nywele zinasimama.

That feeling...
Hahahaha,,,hivi bongo zipo kweli ? By the way nilisikia hadi ikulu ya marekani ina mashetani
 
Hahahaha,,,hivi bongo zipo kweli ? By the way nilisikia hadi ikulu ya marekani ina mashetani
Ni Harry Truman aliekuwa Rais ndio alihisi hivyo miaka hiyo
Inawezekana kuna ghosts jumba jeupe.

Kwa bongo inawezekana kwani nafikiri ni mizimu ya wafu na wengi wao waliuliwa kikatili na kuzikwa humo bila mtu kujua au vifo vya kutatanisha

Pwani nyumba hizi zipo kama mombasa nilisikia zipo

Inabidi uwe na moyo kukaa nyumba kama hizo maana unaweza kujikuta umelala nje ukiwaudhi.
 
Aisee huko hata siwezi thubutu kwenda, maana unaweza kwenda mchana lakini siku hiyo mambo yanaweza badilika.
 
Historia ya India ipo very underated na sio maarufu kama ya western ila hii nchi ilikua na maendeleo toka zaman sana kabla haijatawaliwa na uingereza. Hawa jamaa walikua wajenzi wazuri sana toka kale
 
Back
Top Bottom