Ufahamu mtindo wa nywele wa Amasunzu ulitumika kubainisha kuwa single kwa vijana

Ufahamu mtindo wa nywele wa Amasunzu ulitumika kubainisha kuwa single kwa vijana

Hearten

Member
Joined
May 17, 2016
Posts
46
Reaction score
54
IMG_20181219_215326.jpg
Huu ni mtindo uliojizolea umaarufu nchini Rwanda kwa miaka mingi iliyopita. Muonekano wake ni kama ilivyo katika picha

IMG_20181219_215314.jpg

Mtindo huu ulianzishwa na Wanaume lakini baadaye Wanawake waliupenda na kuanza kutumia

IMG_20181219_215324.jpg

Licha ya kupendezesha kichwa na kuleta muonekano wa kipekee lakini pia ulitumika kuwatambulisha vijana wasio na wapenzi

IMG_20181219_215316.jpg
 
Sidhani kama huo mtindo ulikuwa unatumika kutambulisha wasio na wapenzi. Ila ni automatic tu ukinyoa hivyo unakosa mpenzi. Na ikitokea umepata mpenzi hatoruhusu uendelee na style hiyo.
 
Duuh aisee, sasa hapo ndo wamependeza? Bora niendelee kunyoa kwa mkasi tu
 
chini umevaa pekosi na viatu venye soli kama stuli,mambo powaaaaaaaa 😀
 
Natafuta kinyozi anayeweza kunyoa style hii kwa hapa bongo
 
Back
Top Bottom