Vyote viwili. Kuna nchi inajua[knowledge] kuwa mahala fulani kuna madini halafu watu wa hapo yawezekana hawajui[ignorant] kama yapo au wanajua uwepo wake lakini hawajui namna ya kuyachimba na yako mengi kwa kiasi gani. Anawachonganisha tu, huku nyie mnapigana yeye ananufaika kwa nyinyi kukopa kwenye benki zake kwa riba kali ili mgharamie vita, anawauzia silaha pande zote, na ule upande wenye nguvu anafanyanao mikataba ya kuchukua hayo madini kwa bei ya uswahiba. Ni divide and rule.