Ufahamu ugonjwa mabusha

Ufahamu ugonjwa mabusha

Mirlz B Matthew

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2011
Posts
2,212
Reaction score
3,093
Habari,

Je, ni kweli wagonjwa wengine wa mabusha hugoma kuyafanyia upasuaji kwa sababu ya imani za kishirikina eti kwenye yale mabusha kunakuwa na zana zao yani vifaa vyao vya kishirikina?
 
Kwani kuna uhusiano gani kati ya mabusha na uchawi?
Bwana mkubwa, mfano mtu akiwa anatoka na mke au mme wa mtu Sasa ikajulikana kwa mme au mke wake anaweza kukufanyia upate mabusha ili kukukomoa kuiba iba wake za watu
 
Bwana mkubwa, mfano mtu akiwa anatoka na mke au mme wa mtu Sasa ikajulikana kwa mme au mke wake anaweza kukufanyia upate mabusha ili kukukomoa kuiba iba wake za watu
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] kumbe
 
Kwani kuna uhusiano gani kati ya mabusha na uchawi?[/QUOTE uhusiano upo kuna mabusha ya kichawi na kuna watu kwenye ayo mabusha wamewekwa vifaa vyao vya kichawi....tembea ujionee dunia imebeba mengi
 
Bwana mkubwa, mfano mtu akiwa anatoka na mke au mme wa mtu Sasa ikajulikana kwa mme au mke wake anaweza kukufanyia upate mabusha ili kukukomoa kuiba iba wake za watu
shukran mkuu kwa huu ufafanuzi
 
Back
Top Bottom