Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,212
- 3,093
wakiwafanyia nini kinatokea....Mmmh! Mabusha hatari Sana, ukweli huwa wanapewa onyo wasijaribu kufanyiwa operation na wale wanaowafanyia
duh...kweli..??ukiuona uchawi wenyewe utaujua...??Uchawi huo sasa
Kuiba wake za watuwakiwafanyia nini kinatokea....
Bwana mkubwa, mfano mtu akiwa anatoka na mke au mme wa mtu Sasa ikajulikana kwa mme au mke wake anaweza kukufanyia upate mabusha ili kukukomoa kuiba iba wake za watuKwani kuna uhusiano gani kati ya mabusha na uchawi?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] kumbeBwana mkubwa, mfano mtu akiwa anatoka na mke au mme wa mtu Sasa ikajulikana kwa mme au mke wake anaweza kukufanyia upate mabusha ili kukukomoa kuiba iba wake za watu
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] kumbe
sawa mkuu..nimekoma [emoji23]Ndio! Uache hako katabia.
Ndo hivyo ndugu joseverest[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] kumbe
sawa mkuuNdo hivyo ndugu joseverest
Kwani kuna uhusiano gani kati ya mabusha na uchawi?[/QUOTE uhusiano upo kuna mabusha ya kichawi na kuna watu kwenye ayo mabusha wamewekwa vifaa vyao vya kichawi....tembea ujionee dunia imebeba mengi
shukran mkuu kwa huu ufafanuziBwana mkubwa, mfano mtu akiwa anatoka na mke au mme wa mtu Sasa ikajulikana kwa mme au mke wake anaweza kukufanyia upate mabusha ili kukukomoa kuiba iba wake za watu