El Roi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 297
- 537
Kuwa kiongozi mkuu wa chama Cha siasa ambacho ni active kama ilivyo Chadema, ni muhimu sana.
Ukiacha kufanya tu siasa za ndani, kujua upana wa mambo ya yanayoendelea kwenye ulimwengu mwingine ni mileage kwa chama hicho na nchi kwa ujumla.
Siasa ni universal pia, hivyo kama huna upana wa kuona mambo universally inaweza kuwa haikusaidii sana kupata uungwaji mkono. Na msisahau siasa ni uungwaji mkono kutoka popote.
Kwa jinsi ilivyo, chama kama Chadema kinahitaji kiongozi mkuu ambaye ni worldly figure, Kwa maana ya kuwa na maarifa yanayoihusu Dunia na siasa za kimataifa.
Bila kuwa mjuvi wa siasa za kimataifa na general knowledge juu ya ulimwengu hauwezi kuwa na mguso hakika ( Tangible Impact) . Na tatizo la kutotambuliwa ni kukosa Kila aina ya msaada kutoka jumuiya ya kimataifa, iwe moral support, financial support na hata technical support inapobidi.
Hakuna wakati chama chochote kinachotaka kufanya siasa zenye mguso ( impact) kitajiepusha na hayo mambo. We are one world, therefore, being dependent on each other is normal and highly needed.
Ukiwaona wagombea wa Chadema wa nafasi ya mkuu wa chama, ambaye ninyi mnamuita mwenyekiti, ndugu Tundu Lissu Yuko far ahead of Mr Freeman Mbowe likija suala Hilo.
Kichwa Cha Lissu kinaijua Dunia vizuri na kinaweza ku engage mtu yeyote wa Dunia hii katika circle yake.
Je mliishajiuliza kwanini pamoja na kupiga kelele kwa jumuiya ya kitaifa kuangazia baadhi ya mambo hapa ndani ,bado haijafanyika??? Jibu ni rahisi, mkuu wa chama siyo worldly figure kwa maana ya kuwa na substance zinazogusa jamii pana ukiachia mbali kukosa ujasiri.
Mbowe is a good man, but he is short of international substances to attracting the global attention.
Mwonekano wake, Tabia yake ya utulivu uliopitiliza, kutojua vizuri historia , na ninavyomuona kuwa not so much exposed to worldly affairs, na labda lack of English mastery, ( kumbuka sijasema hajui kiingereza), nimesema, je anaweza ku master vizuri lugha ya mahojiano makali na engagement na watu wenye information treasury kama ambavyo Tundu Lissu hufanya??
Chadema also should go international, na unahitaji mtu kama Tundu Lissu kufika huko.
Likes za watu kama akina zitto Kabwe, January makamba, Tundu Lissu, na pengine Ayoub Rioba kama asingeamua kufia TBC, hii ndo breed ya siasa za kimataifa na unaona kwa hakika hata wakiwa wanaongea kawaida.
Hivyo, hata bila kushabikia nani, sifa ya Tundu Lissu kuwa na ufahamu mkubwa ( General knowledge) ni kubwa kuliko Mbowe, jambo ambalo wapiga kura wasilisahau kama wanataka kuwa na chama chenye mguso Duniani, na hivyo kuvutia uungwaji mkono mkubwa.
Chadema wanahitaji kiongozi wa aina hiyo kama mkuu wa chama Chao. Shule ya Sheria, kufanya kazi nje ya nchi wakati Fulani, kuishi nje muda mrefu , back ground ya masomo ya shule na baadae Sheria, engagement na jamii za kimataifa, na kuziishi corridor za mahakama, na pengine kwa kiasi kubwa inborn talents kumemjenga sana Lissu kwa maana ya kuwa na international exposure na hivyo kuwa mgombea sahihi zaidi hasa wakati huu. He has got better international touch than Freeman.
Kumbukeni, pamoja na kwamba zama zimebadilika, lakini ukuaji mkubwa wa chama kama CCM ulitokana na labda bado unatokana pia na mguso walionao kwa watu wa nje, nje ya Tanzania.. Urusi, China, the former socialist countries ....nk. Huwezi kupuuza Hilo na ukafaulu barabara.
Uchaguzi mwema.