Habarini wadau? Nitokea kutamani kuwekeza ktk hisa za gesi na mafuta, lakini sina uwelewa mpana juu ya undeshwaji wa biashara ya hisa, hasa nawezaje pata faida na risks/ threats ni zipi? Tafadhali nijuzeni!
umechelewa IPO ya swala energy labda usubiri wakishaanza kuziuza dar stock exchange.biashara ya hisa ni liquid asset ambapo ukipata shida na pesa yako unaweza ukauza share within 20 days tofauti na biashara zingine.ni somo refu sana,yakubidi ujue product ya hiyo kampuni,ujifunze kusoma financial statement etc.
hello wana JF nlikuwa napenda kuanza biashara ya kununua na kuuza hisa ila ni mgeni wa hii biashara, kwa hyo naomba maujuz ya process zake kama kuna mtu ana uzoefu nayo...please!!!