MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Mbona kwenye hiyo website uliyoweka hakuna mahala palipoandikwa kuwa Mwenyekiti analipiwa watumishi, simu, maji na gari?
Masatu,
Kwani wewe una Kichwa?? Maana sijaona sehemu palipoandkwa kuwa MASATU ana KICHWA, Kiwiliwili, Tumbo na Miguuu kama Kereng'ende Kamali akishatotolewa. Kama una kichwa basi samahani maana hilo swali lako limenifanya nijiulize hilo swali. Nothing personal.
Acha kuropoka ovyo mtoa hoja kaja na madai mazito halafu anatuelekeza twende kwenye tovuti ya bodi ya Korosho ambapo hakuna hata moja ya madai aliyoweka.
Naona mapovu yanakutoka vp umeshikwa pabaya?
Du, naona kweli huna kichwa, asante. By the way unachonga poa sana.
NB: Mwandishi alitaka tu kukuonyesha kuwa jamaa KWELI ni BOSS wa bodi ya Korosho na si kuwa amepewa ............ Hata kama ni kweli yaani wewe umeenda mbiyombiyo huko kuangalia kama kweli wanampa? Ukatoka KAPA (Waha wanasema). Umerudi hapa Nimeku-tarai na nimegundua kumbe una-TARAIRIKA. Have good day with Obama News. Again, nothing personal.