Hellow Tanganyika!!
IPO Ile Sala ambayo Mungu katika mwili wa mwanadamu, Yesu Kristo aliwafundisha wanafunzi wake akisema,
Msalipo,semeni hivi:
BABA yetu uliye Mbinguni, Jina lako litukuzwe, "UFALME WAKO UJE", Mapenzi Yako yatimizwe hapa duniani kama huko Mbinguni...
Sasa wanasiasa ukiwagusa kutenda HAKI ,wanakwambia unaingiza siasa Mahali Si pake, kwamba Eti kuwaambia wanasiasa acheni wizi wa kura ni kuingiza dini kwenye siasa!
Huu ni mwaka wa uchaguzi, na mahala sahihi pa kuingiza, kuleta UFALME WA Mungu chini petu ni katika chaguzi zetu,
Tuchague viongozi wetu Kwa HAKI, Sanduku la kura liheshimiwe, tupate Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Hakikisha unahusika kuleta UFALME wa Mungu nchini petu mwaka huu 2025.
Na Ufalme wa Mungu ukiingia nchini petu, wizi wa kura utakuwa historia,hatotekwa mtu tena,kamwe.
Karibuni 🙏