Ufanisi wa chini Benki za Serikali

Ufanisi wa chini Benki za Serikali

KITUGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
529
Reaction score
613
Akichangia hoja muheshimiwa Deus Clement majuzi alitufungua macho hali ilivyokuwa katika Benki za Selikali.

Mikopo chechefu, hii ni mikopo mibaya au NPL, Non Performing Loans au ambayo haina marefesho mazuri baadhi ya mojawapo ya Benki ya selikari ina 55% ya mikopo katika vitabu vyake kama chechefu au NPL kama TZS350 Billions wakati vigezo vya BOT ni 5% and below.

Mabenki mengi ya binafsi yamethibiti NPL zao ziko below 10% cha kushangaza inakuwaje miaka yote hiyo Benki za Serikali ziliachiwa kukuza hizo NPL bila ya kudhibitiwa.

Hii inatupa picha kuwa GVT kufanya biashara kwa ufanisi ni ngumu sana na hili ni fundisho ktk sector nyingine kuwe na partnership na Private sector kuleta ufanisi zaidi na kulinda hela za wananchi.

Na haya yalikuwepo awamu ya 5 na hayakupatia maamuzi mazuri zaidi ya merging bila kutatua tatizo la msingi la NPL.

Mwenye video ya MP Deus Clement afanye attachment for quick reference.
 
Back
Top Bottom