Ufanisi wa Utoaji wa Vitambulisho vya NIDA: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita

NIDA Tanzania

New Member
Joined
Dec 6, 2024
Posts
1
Reaction score
7
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).

Kwa sasa, NIDA imeboresha uwezo wake wa kutengeneza na kutoa vitambulisho, ambapo takribani vitambulisho 400,000 vinaandaliwa na kutolewa kila siku. Huu ni ongezeko kubwa ikilinganishwa na miaka ya nyuma, na ni matokeo ya juhudi za serikali kuboresha miundombinu ya teknolojia, kuongeza watumishi wenye ujuzi, na kuondoa changamoto zilizokuwa zinakwamisha mchakato huo.

Faida za ufanisi huu:
1. Kukuza Haki za Kiraia: Wananchi wengi zaidi sasa wanapata Vitambulisho vya Taifa kwa wakati, jambo linalorahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali kama benki, afya, na elimu.

2. Kuimarisha Takwimu za Kiserikali: Vitambulisho vinasaidia katika ukusanyaji wa takwimu sahihi kwa ajili ya mipango ya maendeleo.

3. Kukuza Uchumi: Mfumo huu unarahisisha ushirikishwaji wa wananchi kwenye shughuli za kiuchumi na huduma za kifedha.

Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza mara kwa mara umuhimu wa kuwatumikia wananchi kwa ufanisi na weledi. Mafanikio haya ya NIDA ni uthibitisho wa dhamira hiyo, na ni hatua nyingine muhimu katika safari ya kuijenga Tanzania mpya yenye maendeleo na ustawi kwa wote.

Serikali itaendelea kuboresha huduma za utoaji wa Vitambulisho vya Taifa ili kuhakikisha kila Mtanzania anapata haki yake kwa wakati. Hongera NIDA, na hongera kwa Serikali ya Awamu ya Sita!
 
Vipi kuhusu VITAMBULISHO VYA HUDUMA NAMBA/ JAMII NAMBA...

Kutakuwa na umuhimu tena wa NIDA CARD?
 
Binafsi nilijiandikisha mwaka 2019 ila kitambulisho nilikuja kupata mwaka jana 2024! Lakini kwanini hivi vitambulisho vinachunika tofauti na vile vya awali walivyopata wenzetu miaka ya 2015? Hivi vya sikuhizi vinachunika sana.
 
Kwanini mnapenda kutoa taarifa nzuri kama hizi usiku?
Juzi Wizara ya Ardhi nao walitoa taarifa nzuri usiku.
Nadhani kama ingewezekana hizi taarifa kutolewa mchana, wengi sana wangeshiriki aidha kwa kutoa pongezi au kero zao.

Maandiko yangu sio sheria, ila ingependeza zaidi kama habari inayohusu maendeleo ya wananchi itolewe mchana ili nanyi mpate maoni yetu.

Ila kongole sana kwenu kwa juhudi mnazofanya na mnazoendelea kufanya kipindi cha awamu hii ya sita, chini ya mama yetu Dr. Samia Suluhu Hassan.
 
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).

Kwa sasa, NIDA imeboresha uwezo wake wa kutengeneza na kutoa vitambulisho, ambapo takribani vitambulisho 400,000 vinaandaliwa na kutolewa kila siku. Huu ni ongezeko kubwa ikilinganishwa na miaka ya nyuma, na ni matokeo ya juhudi za serikali kuboresha miundombinu ya teknolojia, kuongeza watumishi wenye ujuzi, na kuondoa changamoto zilizokuwa zinakwamisha mchakato huo.

Faida za ufanisi huu:
1. Kukuza Haki za Kiraia: Wananchi wengi zaidi sasa wanapata Vitambulisho vya Taifa kwa wakati, jambo linalorahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali kama benki, afya, na elimu.

2. Kuimarisha Takwimu za Kiserikali: Vitambulisho vinasaidia katika ukusanyaji wa takwimu sahihi kwa ajili ya mipango ya maendeleo.

3. Kukuza Uchumi: Mfumo huu unarahisisha ushirikishwaji wa wananchi kwenye shughuli za kiuchumi na huduma za kifedha.

Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza mara kwa mara umuhimu wa kuwatumikia wananchi kwa ufanisi na weledi. Mafanikio haya ya NIDA ni uthibitisho wa dhamira hiyo, na ni hatua nyingine muhimu katika safari ya kuijenga Tanzania mpya yenye maendeleo na ustawi kwa wote.

Serikali itaendelea kuboresha huduma za utoaji wa Vitambulisho vya Taifa ili kuhakikisha kila Mtanzania anapata haki yake kwa wakati. Hongera NIDA, na hongera kwa Serikali ya Awamu ya Sita!
Shida inakuja pale mtu anapotaka kubadili MAJINA kwenye kitambulisho kwanini proces inakuwa ndefu na ngumu ivyo
 
Moja ya Taasisi ya hovyo nchini Tanzania ndo hii.
Toka 2019 mpaka Leo watu hatupati vitambulisho ukienda majibu yanayotolewa hata hayaeleweki ..
 
Binafsi nilijiandikisha mwaka 2019 ila kitambulisho nilikuja kupata mwaka jana 2024! Lakini kwanini hivi vitambulisho vinachunika tofauti na vile vya awali walivyopata wenzetu miaka ya 2015? Hivi vya sikuhizi vinachunika sana.
Duh,
Tunamshukuru Sa100 kwa yote hayo.

Halafu mbona mme copy na ku paste uzi mwingine ambao tayari upo humu?!!
 
Mmh! Wakikuambia inbox tufanye ufumbuzi la tatizo lako, si unakuwa disclosed
 
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).

Kwa sasa, NIDA imeboresha uwezo wake wa kutengeneza na kutoa vitambulisho, ambapo takribani vitambulisho 400,000 vinaandaliwa na kutolewa kila siku. Huu ni ongezeko kubwa ikilinganishwa na miaka ya nyuma, na ni matokeo ya juhudi za serikali kuboresha miundombinu ya teknolojia, kuongeza watumishi wenye ujuzi, na kuondoa changamoto zilizokuwa zinakwamisha mchakato huo.

Faida za ufanisi huu:
1. Kukuza Haki za Kiraia: Wananchi wengi zaidi sasa wanapata Vitambulisho vya Taifa kwa wakati, jambo linalorahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali kama benki, afya, na elimu.

2. Kuimarisha Takwimu za Kiserikali: Vitambulisho vinasaidia katika ukusanyaji wa takwimu sahihi kwa ajili ya mipango ya maendeleo.

3. Kukuza Uchumi: Mfumo huu unarahisisha ushirikishwaji wa wananchi kwenye shughuli za kiuchumi na huduma za kifedha.

Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza mara kwa mara umuhimu wa kuwatumikia wananchi kwa ufanisi na weledi. Mafanikio haya ya NIDA ni uthibitisho wa dhamira hiyo, na ni hatua nyingine muhimu katika safari ya kuijenga Tanzania mpya yenye maendeleo na ustawi kwa wote.

Serikali itaendelea kuboresha huduma za utoaji wa Vitambulisho vya Taifa ili kuhakikisha kila Mtanzania anapata haki yake kwa wakati. Hongera NIDA, na hongera kwa Serikali ya Awamu ya Sita!
NIDA Tanzania,

Nchi nyingine inachukua wiki chini ya wiki mbili kupata NIDA. Mnafeli wapi?
 
Naomba NIDA mtoe ufafanuzi wa kina kabisa kuhusu suala hili lifuatalo:-

Kuna jamaa yangu aliomba Kitambulisho cha NIDA Mwaka 2018, amekuwa akifuatilia Kitambulisho chake tangu wakati huo bila mafanikio. Baadaye alijaribu kuwasiliana nanyi kwa barua pepe lakini kwa Maelezo yake anadai kwamba hajajibiwa barua yake hiyo hadi Sasa. Barua yake hiyo nitaambatisha hapa chini (alinitumia copy ya hiyo barua yake kwenye email yangu, nitai-forwad)

Jambo ambalo limenisukuma Mimi kuandika hapa ni kwamba huyu jamaa yangu Sasa hivi ni mgonjwa, na pia tunataka kufungua Kampuni yetu ya pamoja tukiwa watu watatu. Tumekwama kufungua Kampuni yetu kwa sababu huyo mwenzetu mmoja ambaye ni mgonjwa kwa Sasa Hana Kitambulisho Cha NIDA. Nyaraka zingine zote kabisa za kusajili Kampuni yetu tayari tumeshaanda isipokuwa tumekwama kufungua Kampuni kutokana na huyo mwenzetu mmoja Hana Kitambulisho Cha NIDA.
Naomba utusaidie kupata ufumbuzi juu ya suala hili please.

Barua-pepe ya huyo mwenzetu mmoja ambayo aliituma kwenu Watu wa NIDA ni hii ifuatayo, nimefuta baadhi ya maneno ili kuficha Utambulisho wake hapa:-

(KUPATIWA KITAMBULISHO CHA TAIFA, NIDA NA: 1....................................................................
Tafadhali husika na somo tajwa hapa juu.
Nakumbuka mwishoni mwa mwaka 2018 niliwasilisha ombi la kupatiwa Kitambulisho cha Taifa, ombi hilo niliwasilisha kwenye Mamlaka hii kupitia katika Ofisi yenu iliyopo .............. katika Wilaya ya ....., Mkoa wa .......... Baadaye niliweza kupatiwa Namba ya NIDA (..,.............................) niliyoitaja hapo juu.

Aidha, mwanzoni mwa mwaka 2019 nilisafiri kwenda kuishi nje ya nchi kwa ajili ya masomo, wakati niliporejea hapa nchini Tanzania kutoka masomoni, nilifuatilia mara kadhaa kwenye Ofisi ya NIDA Wilaya ya ............. ili niweze kupatiwa Kitambulisho changu lakini bila mafanikio. Kwa mara ya mwisho nakumbuka Mwezi Oktoba, 2024 nilifika tena hapo Ofisi ya NIDA Wilaya ya ......... ili kufuatilia tena Kitambulisho hicho cha NIDA, Afisa wa NIDA aliyenihudumia siku hiyo ya mwisho nilipofika kwenye Ofisi hizo, alinieleza kwamba "Kitambulisho changu kipo tayari na ninatakiwa kwenda kwenye Ofisi ya Afisa Mtendaji wa Kata nilikojiandikisha ili nikachukue hicho Kitambulisho changu." Baada ya maelekezo hayo, nami nilitekeleza kama nilivyoelekezwa na Afisa huyo wa NIDA. Nilienda katika Ofisi ya Afisa Mtendaji wa Kata ya ................. Wilaya ya...,............. ili kufuatilia Kitambulisho hicho, lakini kwa bahati mbaya nako sikuweza kufanikiwa kukipata Kitambulisho changu. Badala yake nilipewa maelekezo kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kata ya .....,.................... kwamba, niende katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa/Ofisi ya Afisa Mtendaji wa Mtaa nilikojiandikisha hapo awali ili niweze kupatiwa hicho Kitambulisho. Nami kwa mara nyingine tena nilitekeleza maelekezo hayo na kwenda kwenye Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa ......................-Kata ya ..........,.......... Nilipofika katika Ofisi hiyo ya Serikali ya Mtaa wa ..................,... kwa bahati mbaya tena sikufanikiwa kupata Kitambulisho changu, lakini Afisa Mtendaji wa Mtaa ........................baada ya Kusoma kwenye Vitabu vyenye Orodha ya Majina ya Wananchi wenye Vitambulisho vya NIDA vilivyopo katika Ofisi hiyo, orodha ambayo Afisa huyo anadai kwamba amepatiwa kutoka NIDA alifanikiwa kuliona jina langu (kwenye orodha hiyo jina langu linaonekana kuwa lenye Namba .,.............) lakini kwa bahati mbaya sana Kitambulisho changu hakufanikiwa kukiona, na kwenye Orodha hiyo inaonyesha kwamba hakuna mtu yoyote yule aliyeweka saini yake kwenye orodha husika kuthibitisha kuchukua kitambulisho changu.

Kwa kuwa kwenye Ofisi hiyo ya Serikali ya Mtaa wa .,.,..................... sikufanikiwa kupata Kitambulisho changu, Afisa Mtendaji wa Mtaa alinielekeza kwamba ninatakiwa kwenda kwenye Ofisi zote za Serikali za Mitaa zilizopo kwenye hiyo Kata ya .................... ili kwenda kukitafuta Kitambulisho changu huko, huenda labda kimechukuliwa kimakosa na mmoja wa Watendaji wa Mitaa iliyopo huko. Kwa mara nyingine tena nami nilitekeleza maelekezo hayo na kwenda kwenye Ofisi zote kabisa za Serikali za Mitaa zilizopo katika Kata ya .................. (Mitaa ya. ....,..........., ........, ............, ........... pamoja na Mtaa wa .................).Kwa bahati mbaya sana kwenye Ofisi zote hizo za Serikali za Mitaa niliyotembelea, sikuweza kufanikiwa kukiona/kupata Kitambulisho changu cha NIDA.

Baada ya juhudi zangu zote za kutafuta Kitambulisho changu kugonga kwamba, nilirudi tena kwa mara nyingine katika Ofisi ya Afisa Mtendaji wa Kata ya
.,..,....................... ili kupata maelekezo mengineyo, Afisa Mtendaji wa Kata ya ......,................. alinieleza ya kwamba huenda Kitambulisho changu hakikuletwa kwenye Ofisi yake hiyo kutoka NIDA au huenda pengine Kitambulisho hicho endapo kama kililetwa kwenye Ofisi yake basi kitakuwa "misplaced" katika moja ya Ofisi za Serikali ya Mtaa zilizopo kwenye Kata yake, hivyo akanishauri kwamba nirudi tena kwenye Ofisi za
NIDA ili niweze kupatiwa ufumbuzi juu ya tatizo langu la kupatiwa Kitambulisho cha NIDA.

Hivyo basi, kwa kupitia barua hii ninawasilisha tena kwa mara nyingine suala hili kwenye Ofisi yako ili niweze kupatiwa Kitambulisho hicho nilichoomba. Ni matumaini yangu kwamba suala hili litashughulikiwa mapema na kwa haraka na hatimaye niweze kupatiwa hicho Kitambulisho nilichoomba, ukizingatia kwamba tayari umeshapita muda mrefu sana (takribani miaka sita sasa) tangu niliwasilishe ombi langu hili katika Ofisi yako. Aidha, tayari nimeshapata usumbufu mkubwa sana kupita kiasi katika mchakato mzima wa kufuatilia suala hili bila ya mafanikio yoyote yale mpaka sasa.
Nitashukuru sana endapo kama ombi langu hili litashughulikiwa mapema na haraka iwezekanavyo na hatimaye kuhitimisha kabisa suala hili.

Naomba kuwasilisha.

Mimi,
..........................))
MWISHO

Tafadhali sana naomba utusaidie kupata ufumbuzi juu ya suala hili kwani huyo jamaa yetu kwa Sasa ni Mgonjwa, na sisi tumekwama kusajili Kampuni yetu pale BRELA kwa sababu huyo mwenzetu mmoja Hana Kitambulisho Cha NIDA.
Nyaraka zote kwa ajili ya Usajili wa Kampuni yetu hiyo tayari tumeshaziandaa.

Tunasubiri ufafanuzi wako juu ya suala hili. Je, Nini hasa kinapaswa kufanyika kwenye scenario kama hii? Je, Aandae Loss Report ikiwa mhusika wa Kitambulisho chenyewe hajawahi kukiona wala hajawahi kukabidhiwa kutoka NIDA? Je, anawezaje kukiri au kuapa kwamba amepoteza Kitambulisho chake ikiwa hajakabidhiwa na Wala Kitambulisho hicho hakijapotea kikiwa mikononi mwake?
Tunaomba msaada wako juu ya suala hili.
 
Tunaomba mje na muongozo wa sis wenye changamoto ya fingerprint kuingiliana cz huu sasa kwangu ni mwaka wa nane...nmefuatilia had makao makeup bila mafanikio yoyote
 
NIDA, nisaidieni Current link ninayoweza kuingia taarifa then nikapata namba yangu ya NIDA..
Nimejisajiri miezi miwili imepita na Niko mbali na ofisi(wilayani)
Link zenu za zamani hazifanyi kazi sasa.
 
Back
Top Bottom