Kijana wa Busara
New Member
- Nov 11, 2024
- 1
- 0
Katika mfululizo wangu wa maelezo, nitapendelea kutaja baadhi tu ya taasisi za serikali yetu ya Tanzania, ambazo vitengo vyake vya UHUSIANO WA UMMA NA MAWASILIANO vinajitahidi mno katika kutoa vipindi vyenye kuuhabarisha na kuuelimisha umma kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.
1. LATRA
2. TRA
3. MNH
4. Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga.
5. Wizara ya mambo ya nje.
6. Polisi Tanzania.
7. Halmashauri ya Jiji la DSM
8. Wizara ya nishati.
9. TRC
10. TCRA (Hii inapaswa kuwa namba moja lakini kiuhalisia bado naona wanaohusika na kitengo Cha uhusiano wa Umma wanakosa ubunifu).
1. LATRA
2. TRA
3. MNH
4. Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga.
5. Wizara ya mambo ya nje.
6. Polisi Tanzania.
7. Halmashauri ya Jiji la DSM
8. Wizara ya nishati.
9. TRC
10. TCRA (Hii inapaswa kuwa namba moja lakini kiuhalisia bado naona wanaohusika na kitengo Cha uhusiano wa Umma wanakosa ubunifu).