Ufanyapo usafi nyumbani, usipookota hata Tsh. 100 ujuwe ufukara unapiga hodi!

Mbona kama kinyume chake, sisi matajiri pesa yote inakaa benki na kama huduma za nyumbani tunalipakwa bili ya mwisho wa mwezi tena kupitia mhasibu maalu, sasa hiyo mia utaokota sangapi. Nachojua ukiokota okota vijisenti hivyo nyumbani kwenu jua ni umasikini huo maana huna hata pesa ya kuweka benki, na hivyo mnazificha uvunguni hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…