Wakati tunaelekea mwishoni wa ligi kuu mbalimbali za mpira wa miguu hapa duniani ligi kuu ya uingereza EPL imetangaza kikosi chake bora cha ligii kuu mwaka huu.
Nawaza spain nao watatangaza chao na ufaransa pia bila kusahau ligii kuu nyingine ulaya kama Italy, holand, ureno na nchi nyingine. Vp Eufa kwanini wasianzishe michuano ya vikosi bora vya ligi za nchi mbalimbali za ulaya?