Ufaransa anabeba Kombe la Dunia

Ufaransa anabeba Kombe la Dunia

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Binafsi ni mshabiki mkubwa wa Argentina lakini game ya leo naona kabisa Ufaransa anabeba.

Ufaransa ni team yenye uzoefu mkubwa na wana kocha ambaye anajua vizuri kucheza kwenye game muhimu kama hizi, tujiandae kisaikolojia kabisa kwa Ufaransa kubeba tena kwa mara nyingine.
 
Binafsi ni mshabiki mkubwa wa Argentina lakini game ya leo naona kabisa Ufaransa anabeba, Ufaransa ni team yenye uzoefu mkubwa na wanna kocha ambaye anajua vizuri kucheza kwenye game muhimu kama hizi tujiandae kisaikologia kabisa kwa Ufaransa kubeba Tena kwa mara nyingine
Reason why Argentina anashinda ni Messi ntaeleza baada ya mechi
 
Back
Top Bottom