Binafsi ni mshabiki mkubwa wa Argentina lakini game ya leo naona kabisa Ufaransa anabeba, Ufaransa ni team yenye uzoefu mkubwa na wanna kocha ambaye anajua vizuri kucheza kwenye game muhimu kama hizi tujiandae kisaikologia kabisa kwa Ufaransa kubeba Tena kwa mara nyingine