Ufaransa imesema haitaipiga marufuku Huawei ila imezisihi kampuni za simu kuiepuka Huawei

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Serikali ya ufaransa imesema haina mpango wa kuipiga marufuku Huawei kufanya kazi ndani ya nchi hiyo ila imesisisitiza kampuni za simu kuepuka Huawei.

Kuna kampuni tayari zilishapewa kibali cha kutumia mitambo ya Huawei kwenye teknolojia ya 5G hasa kwenye maeneo yasiyo ya muhimu kama vile kwenye minara.

Serikali ya Ufaransa imesema kwa zile kampuni ambazo hajijapewa kibali cha kufanya kazi na Huawei basi zijitahidi kuiepuka kwa namna zote.

Marekani bado anaendeleza mbinyo wake kwa kampuni ya Huawei, akizisihi nchi washirika pamoja na Umoja wa Ulaya kuipiga marufuku Huawei.

Uingereza yenyewe imesema itachukua miezi michache ijayo kuiondoa Huawei kwenye 5G kabla ya mwaka huu kuisha. Hapo mwezi January serikali ya Uingereza iliipa kibali Huawei kufanya kazi nchini humo ila sasa imebadili msimamo.

France won't ban Huawei, but encouraging 5G telcos to avoid it: report

===

The head of the French cybersecurity agency ANSSI said there would not be a total ban on using equipment from Huawei in the rollout of the French 5G telecoms network, but that it was pushing French telcos to avoid switching to the Chinese company.

“What I can say is that there won’t be a total ban,” Guillaume Poupard told Les Echos newspaper in an interview. “(But) for operators that are not currently using Huawei, we are inciting them not to go for it.”

The U.S. government has urged its allies to exclude the Chinese telecoms giant from the West’s next-generation communications, saying Beijing could use it for spying. Huawei has denied the charges.

Sources told Reuters in March France would not ban Huawei but would seek to keep it out of the core mobile network, which carries higher surveillance risks because it processes sensitive information such as customers’ personal data.

France’s decision over Huawei’s equipment is crucial for two of the country’s four telecoms operators, Bouygues Telecom and SFR, as about half of their current mobile network is made by the Chinese group.

“For those that are already using Huawei, we are delivering authorisations for durations that vary between three and eight years,” Poupard said in the interview.

State-controlled Orange has already chosen Huawei’s European rivals Nokia and Ericsson.

Poupard said that from next week, operators which have not received an explicit authorisation to use Huawei equipment for the 5G network can consider a non-response after the legal deadline as a rejection of their requests.

Poupard said the choice was made to protect French independence, and not as an act of hostility towards China.

“This is not Huawei bashing or anti-Chinese racism,” Poupard said. “All we’re saying is that the risk is not the same with European suppliers as with non-Europeans.”
 
Aisee!
Sisi watumiaji wa Huawei hasa simu matumbo yetu yanapata fukuto vibaya sana kila tusikiapo habari za namna hii

Ila kiukweli Huawei wana brand kali sana za devices with high innovative technology, ndio maana Mmarekani anampiga vita kila uchwao ili kulinda kampuni yao ya Iphone
 
Serikali ya ufaransa imesema haina mpango wa kuipiga marufuku Huawei kufanya kazi ndani ya nchi hiyo ila imesisisitiza kampuni za simu kuepuka Huawei.

Kuna kampuni tayari zilishapewa kibali cha kutumia mitambo ya Huawei kwenye teknolojia ya 5G hasa kwenye maeneo yasiyo ya muhimu kama vile kwenye minara.

Serikali ya Ufaransa imesema kwa zile kampuni ambazo hajijapewa kibali cha kufanya kazi na Huawei basi zijitahidi kuiepuka kwa namna zote.

Marekani bado anaendeleza mbinyo wake kwa kampuni ya Huawei, akizisihi nchi washirika pamoja na Umoja wa Ulaya kuipiga marufuku Huawei.

Uingereza yenyewe imesema itachukua miezi michache ijayo kuiondoa Huawei kwenye 5G kabla ya mwaka huu kuisha. Hapo mwezi January serikali ya Uingereza iliipa kibali Huawei kufanya kazi nchini humo ila sasa imebadili msimamo.

France won't ban Huawei, but encouraging 5G telcos to avoid it: report

===

The head of the French cybersecurity agency ANSSI said there would not be a total ban on using equipment from Huawei in the rollout of the French 5G telecoms network, but that it was pushing French telcos to avoid switching to the Chinese company.

“What I can say is that there won’t be a total ban,” Guillaume Poupard told Les Echos newspaper in an interview. “(But) for operators that are not currently using Huawei, we are inciting them not to go for it.”

The U.S. government has urged its allies to exclude the Chinese telecoms giant from the West’s next-generation communications, saying Beijing could use it for spying. Huawei has denied the charges.

Sources told Reuters in March France would not ban Huawei but would seek to keep it out of the core mobile network, which carries higher surveillance risks because it processes sensitive information such as customers’ personal data.

France’s decision over Huawei’s equipment is crucial for two of the country’s four telecoms operators, Bouygues Telecom and SFR, as about half of their current mobile network is made by the Chinese group.

“For those that are already using Huawei, we are delivering authorisations for durations that vary between three and eight years,” Poupard said in the interview.

State-controlled Orange has already chosen Huawei’s European rivals Nokia and Ericsson.

Poupard said that from next week, operators which have not received an explicit authorisation to use Huawei equipment for the 5G network can consider a non-response after the legal deadline as a rejection of their requests.

Poupard said the choice was made to protect French independence, and not as an act of hostility towards China.

“This is not Huawei bashing or anti-Chinese racism,” Poupard said. “All we’re saying is that the risk is not the same with European suppliers as with non-Europeans.”
Macron uwa hamkubari Trump, anamuona kichaa tu
 
✓Hii ni habari njema kwa sisi tusioipenda China
 
Back
Top Bottom