Ufaransa iyo

barakachaplin

Senior Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
118
Reaction score
53
Mwanamke mmoja ivi wa kihindi aliolewa na jamaa mmoja wa Kifaransa,yule jamaa akampeleka kwao Ufaransa wakawa wanaishi huko Ufaransayule mwanamke alkuwa hajui kifaransa akawa kila akienda dukani (mall) kununua paja la kuku alkuwa anapandisha sketi yake anamwonesha mhudumu PAJA lake na mhudumu anamwelew,mamboyakawa yanaenda ivosiku moja yule mwanamke alkuwa anataka kununua NDIZI,ikabidi amchukue mmewe aende nae pale dukani (mall),USICHEKEAISEEEEEEEH,ACHA KUWAZA IVO UNAVOWAZA,................ALIENDA NA MMEWE MAANA MMEWE YEYE ANAJUA KUONGEA KIFARANSA!!!u
 
Hahahha,,, Daaah mawazo yalihama kabisaaa
 
teh teh teh
aiseeee umenifanya nicheke sana.

Usiku mwema kabisa, ngoja nikalale
 
ha ha ha haaaa!niliwaza atatoa dusheee ya mumewe! mweeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…