Ufaransa kupigwa Kama ngoma

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kipigo alichompiga Croatia mwaka 2018 kesho kitamgeukia atachapwa ndani ya dakika 90

Messi atamfunga na wengine watafunga

Messi pia atakuwa mchezaji Bora wa mashindano

Na mwakani Messi atakuwa mchezaji Bora wa Dunia na huo ndio utakuwa mwisho wake πŸ™πŸ™πŸ™

Na Messi ataandikwa Kama mchezaji Bora wa muda wote kuwai kutokea hapa Duniani Na kuwapiku Pele pamoja na MaradonaπŸ™πŸ™
 
Umeandika kiushabiki sana mkuu hakuna fact hata moja
 
Leo mashabiki wa wazungu wa Argentina mtaaibika sana.

Maana waafrika tunaonesha uwezo wetu kwenye soka

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…