Ufaransa: Mwanamke atapeliwa zaidi ya Bilioni 2 na Brad Pitt feki aliyekuwa ana-date naye online

Ufaransa: Mwanamke atapeliwa zaidi ya Bilioni 2 na Brad Pitt feki aliyekuwa ana-date naye online

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Hivi inakuaje kuaje mpaka unadanganywa kiasi hiki na Artificial Intelligence? Ndo tumefikia huku?

======================

Mwanamke mmoja kutoka Ufaransa alidanganywa na kupoteza zaidi ya $800,000 (zaidi ya TSH bilioni 2) na tapeli aliyejifanya kuwa ni Brad Pitt kwa kutumia picha zilizotengenezwa kwa teknolojia ya AI.

Tapeli huyo alidai kuwa alikuwa anahitaji msaada wa kifedha kwa ajili ya matibabu ya saratani.

Mwanamke huyo, Anne, mwenye umri wa miaka 53, aligundua udanganyifu huo baada ya kusoma taarifa za vyombo vya habari kuhusu kutengana kwa Brad Pitt na Angelina Jolie, pamoja na taarifa za uhusiano mpya wa Pitt.

Anne, ambaye ni Interior Designer alieleza kuwa aliamini yeye na Pitt walikuwa wamependana mtandaoni, na tapeli huyo alimsihi aachane na mume wake ili waweze kuwa pamoja.

Anne ameanzisha ukurasa wa kuchangisha fedha ili kugharamia mashtaka ya kisheria, akilenga kurejesha pesa alizotuma kwa tapeli huyo.

Brad .png

=========================================================

A French woman fell victim to scammers who used artificial intelligence to make her believe she had a relationship with superstar actor Brad Pitt, eventually leading to her losing $850,000, reports say.

France 24 reports the scammers were able to convince the victim that Pitt was in a hospital battling cancer. The fake Pitt told the woman his bank accounts were frozen because of his divorce from actress Angelina Jolie.

The woman was sent fake photos showing Pitt and his mother, The Times reports. The fake Pitt also sent the woman poems and love letters, reports say.

The 53-year-old victim, identified only as Anne, reportedly has mental-health issues. She said she initially was skeptical after being contacted by the fake mother of Pitt, but then she was contacted by the fake Pitt as well.


.
 
Back
Top Bottom