Ufaransa ndio Taifa pekee la ulaya linaloamini mtu mweusi anajua boli ndio maana wanajaza weusi katika timu yao

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Sisi waafrika hatuna sababu ya kuacha kuishangilia ufaransa, makocha wake wote waliopita hakuna ambaye hateui nusu ya kikosi wafaransa weusi.

Hii Uerope ya mwaka huu wametia fora, kipa, madifenda, viungo hadi kule kwa Mbappe ni weusi tu.

Giroud kumpoka namba Mbappe hadi Mbappe aumie kudadadeki.

Kweli assimilation policy is better than Direct or indirect rule by both the Germany and British respectively.
 
Kama swala ni wachezaji kuwa na rangi ya Ngozi nyeusi basi,
Wafaranza wapo karibia sawa na Waholanzi ambao nao wao wapo karibia nusu nzima ya timu wabantu kabisa.

Hivyo, toa neno lako 'Wafaransa pekee'.

Na dodosa utaona.
 
Kwenye mada kama hizi huwezi kabisa kuwaona wale wabeba jambia kwa sababu mmewasfikia wazungu kwa swala la kutokuwa na ubaguzi wa rangi.

Ingekuwa hili limefanywa na taifa kama Russia au China, mataifa yanayoamini kwamba mtu mweusi ni nyani, pasingetosha humu na wangekosa hata kuhudhuria zile swala swala kwa kuwa busy nyuma ya keyboard kuyasifia hayo mataifa.
 
Mswalie mtume sheikh wangu.... Mswalie naye akae sawa
 
Kwenye mada kama hizi huwezi kabisa kuwaona wale wabeba jambia kwa sababu mmewasfikia wazungu kwa swala la kutokuwa na ubaguzi wa rangi.

Ingekuwa hili limefanywa na taifa kama Russia au China, mataifa yanayoamini kwamba mtu mweusi ni nyani, pasingetosha humu na wangekosa hata kuhudhuria zile swala swala kwa kuwa busy nyuma ya keyboard kuyasifia hayo mataifa.
Sa nyengine mfiche ujinga wenu, World cup Nchi za kiarabu zilikua na weusi kibao, nikumumbushe hiki kulikua kikosi cha Saudi

images (25).jpeg

Na Qatar na Denmark ndio mataifa pekee yaliyokuwa na wachezaji asili ya Tanzania.
 
Sisi waafrika hatuna sababu ya kuacha kuishangilia ufaransa, makocha wake wote waliopita hakuna ambaye hateui nusu ya kikosi wafaransa weusi.

Hii Uerope ya mwaka huu wametia fora, kipa, madifenda, viungo hadi kule kwa Mbappe ni weusi tu.

Giroud kumpoka namba Mbappe hadi Mbappe aumie kudadadeki.

Kweli assimilation policy is better than Direct or indirect rule by both the Germany and British respectively.
Technically Ufaransa wachezaji weusi wanabaguliwa sana, Kwenye Academies hadi Timu ya Taifa, unawaona tu hapo sababu hawana jinsi. Ila ukifuatilia stori zao na Background zao zimejaa ubaguzi.
 
Sa nyengine mfiche ujinga wenu, World cup Nchi za kiarabu zilikua na weusi kibao, nikumumbushe hiki kulikua kikosi cha Saudi

View attachment 3023430
Na Qatar na Denmark ndio mataifa pekee yaliyokuwa na wachezaji asili ya Tanzania.
Wewe ndio ufiche ujinga wako, hao unaowasema ni Waarabu weusi.

Bilal mpiga adhana wa kwanza alikuwa ni mwarabu black tena dread man, wamisri wa kale Kemet walikuwa ni mablack.
 
Weusi sisi shida yetu ni uongozi tu, kila anaepata nafasi anaangalia ukoo wake...
Hata hao walioko uko wengi wamezamia zamia tu,
Timu za bongo kocha anapangiwa kikosi
 
Wewe ndio ufiche ujinga wako, hao unaowasema ni Waarabu weusi.

Bilal mpiga adhana wa kwanza alikuwa ni mwarabu black tena dread man, wamisri wa kale Kemet walikuwa ni mablack.
Comprehension ni janga la Taifa. Kasome comment niliyoiquote halafu Soma ulichoandika.
 
1. Hawana significant population ya watu weusi
2. Hawana mahusiano na hao "majambia" uliowasema kwenye comment yako.
Hawawataki watu weusi wanawaona kama nyani tu, wape binti wao mimba ndio utaelewa kwanini wanajua wewe ni nyani.
 
Mungu hakutunyima vyote! Wabantu wana kipaji cha kusakata kandanda.

naona tifu za africa zimekuwa washindikizaji kwenye World Cup kwa miaka yote, icho kipaji nafasi yako ipo wapi hapo?
 
1. Hawana significant population ya watu weusi
2. Hawana mahusiano na hao "majambia" uliowasema kwenye comment yako.
Unafikiri ni kwa nini watu weusi wanakwepa kwenda kwenye nchi hizo na badala yake hupenda kuhatarisha maisha yao kwa kwenda katika nchi za magharibi..⁉️⁉️
 
Sisi waafrika hatuna sababu ya kuacha kuishangilia ufaransa, makocha wake wote waliopita hakuna ambaye hateui nusu ya kikosi wafaransa weusi.

Hii Uerope ya mwaka huu wametia fora, kipa, madifenda, viungo hadi kule kwa Mbappe ni weusi tu.

Giroud kumpoka namba Mbappe hadi Mbappe aumie kudadadeki.

Kweli assimilation policy is better than Direct or indirect rule by both the Germany and British respectively.

Lakini sisi wana Argentina wenye 3 cups for one season, tuliwanyoosha.....

And this time, hamuna chenu European cup, kumbuka tuna wajerumani, Spain/Barcelona B, Belgium, Netherlands, Switzerland and Italy, sijui mtapenya wapi hapo wazee wa kubebwa, hata juzi goli halali haswaa la uholanzi likakataliwa, lini mtaacha kubebwa kamanda wangu!😄
 
Back
Top Bottom