Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kwenye mada kama hizi huwezi kabisa kuwaona wale wabeba jambia kwa sababu mmewasfikia wazungu kwa swala la kutokuwa na ubaguzi wa rangi.
Ingekuwa hili limefanywa na taifa kama Russia au China, mataifa yanayoamini kwamba mtu mweusi ni nyani, pasingetosha humu na wangekosa hata kuhudhuria zile swala swala kwa kuwa busy nyuma ya keyboard kuyasifia hayo mataifa.
Sa nyengine mfiche ujinga wenu, World cup Nchi za kiarabu zilikua na weusi kibao, nikumumbushe hiki kulikua kikosi cha SaudiKwenye mada kama hizi huwezi kabisa kuwaona wale wabeba jambia kwa sababu mmewasfikia wazungu kwa swala la kutokuwa na ubaguzi wa rangi.
Ingekuwa hili limefanywa na taifa kama Russia au China, mataifa yanayoamini kwamba mtu mweusi ni nyani, pasingetosha humu na wangekosa hata kuhudhuria zile swala swala kwa kuwa busy nyuma ya keyboard kuyasifia hayo mataifa.
Technically Ufaransa wachezaji weusi wanabaguliwa sana, Kwenye Academies hadi Timu ya Taifa, unawaona tu hapo sababu hawana jinsi. Ila ukifuatilia stori zao na Background zao zimejaa ubaguzi.Sisi waafrika hatuna sababu ya kuacha kuishangilia ufaransa, makocha wake wote waliopita hakuna ambaye hateui nusu ya kikosi wafaransa weusi.
Hii Uerope ya mwaka huu wametia fora, kipa, madifenda, viungo hadi kule kwa Mbappe ni weusi tu.
Giroud kumpoka namba Mbappe hadi Mbappe aumie kudadadeki.
Kweli assimilation policy is better than Direct or indirect rule by both the Germany and British respectively.
Wewe ndio ufiche ujinga wako, hao unaowasema ni Waarabu weusi.Sa nyengine mfiche ujinga wenu, World cup Nchi za kiarabu zilikua na weusi kibao, nikumumbushe hiki kulikua kikosi cha Saudi
View attachment 3023430
Na Qatar na Denmark ndio mataifa pekee yaliyokuwa na wachezaji asili ya Tanzania.
Vipi Russia, Iran na China.Sa nyengine mfiche ujinga wenu, World cup Nchi za kiarabu zilikua na weusi kibao, nikumumbushe hiki kulikua kikosi cha Saudi
View attachment 3023430
Na Qatar na Denmark ndio mataifa pekee yaliyokuwa na wachezaji asili ya Tanzania.
1. Hawana significant population ya watu weusiVipi Russia, Iran na China.
Comprehension ni janga la Taifa. Kasome comment niliyoiquote halafu Soma ulichoandika.Wewe ndio ufiche ujinga wako, hao unaowasema ni Waarabu weusi.
Bilal mpiga adhana wa kwanza alikuwa ni mwarabu black tena dread man, wamisri wa kale Kemet walikuwa ni mablack.
Hawawataki watu weusi wanawaona kama nyani tu, wape binti wao mimba ndio utaelewa kwanini wanajua wewe ni nyani.1. Hawana significant population ya watu weusi
2. Hawana mahusiano na hao "majambia" uliowasema kwenye comment yako.
Mungu hakutunyima vyote! Wabantu wana kipaji cha kusakata kandanda.
Unafikiri ni kwa nini watu weusi wanakwepa kwenda kwenye nchi hizo na badala yake hupenda kuhatarisha maisha yao kwa kwenda katika nchi za magharibi..⁉️⁉️1. Hawana significant population ya watu weusi
2. Hawana mahusiano na hao "majambia" uliowasema kwenye comment yako.
Sisi waafrika hatuna sababu ya kuacha kuishangilia ufaransa, makocha wake wote waliopita hakuna ambaye hateui nusu ya kikosi wafaransa weusi.