UFARANSA VS UBELGIJI: Watoto wa wazamiaji waliotoka Afrika

Hili linaeleweka. Waafrika wana vipaji kama hao watu weupe tatizo ni mfumo wa maisha ni tofauti. Wazungu wameendelea katika hatua zote kuliko sisi. 1) Uwezo wa kutambua vipaji, 2) jinsi ya kuendeleza vipaji (Academics), 3) Matayarisho mazuri kabla ya michuano, 4) Uwezo wa kifedha wa kukidhi gharama za mashindano, pamoja na kuwalipa vizuri wachezaji wenyewe nk...
 
Mnachugua Raisi wa TFF Msomali nani ameturoga maweee
 
Ndo maana nasema ufaransa na ibebe
Tu hili kombe
 
UFARANSA TENA FAINALI ,keshn england finali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…