Janga hili linaenda kuenea Ulaya yote
Tatizo si Wahamiaji bali Magaidi ya kiarabu!!
Waarabu ndiyo usiseme kabisa wanawachukia sana Waarabu-koko kama wewe tatizo hujitambui tu!!
Wageni wasio na shukran wametoka kwao sababu ya ugumu wa maisha halafu wanaenda kushinikiza maisha bora ugeniniTatizo Ulaya kwasasa ni Umasikini kazi Hakuna lkn Echolima1 atakwambia Tatizo wageni !!!!
Uko Ulaya wataanza kufukuza wageni lkn Tatizo litabaki
pale pale ✍️
Wageni wasio na shukran wametoka kwao sababu ya ugumu wa maisha halafu wanaenda kushinikiza maisha bora ugenini
Usiseme tatizo ni Wageni, sema tatizo ni Waarabu hata kama inauma.Tatizo Ulaya kwasasa ni Umasikini kazi Hakuna lkn Echolima1 atakwambia Tatizo wageni !!!!
Uko Ulaya wataanza kufukuza wageni lkn Tatizo litabaki
pale pale ✍️
Onyesha neno muislam katikq koment yangu mimi nimeongelea migrants bila kujali race wala ethinicity zao get a life mazafakqKuna muislamu hapo ? Jf imeingiliwa na mashoga
Kuna mgeni Albania ??
wewe cuma umekuwa msemaji wa ufaransa sasaMapigano mapya ya vurugu yalizuka kote Ufaransa leo huku waandamanaji wa Kiislamu wenye msimamo mkali wakipita Paris, Lyon na Bordeaux.
Huko Paris, waandamanaji walirusha fataki, makombora na vinywaji vya Molotov kwa polisi, huku maafisa kadhaa wakijeruhiwa. Video zinaonyesha miali ya moto ikimfunika afisa mmoja kufuatia mlipuko,
Huko Lyon, waandamanaji walikanyaga na kuchoma bendera za Marekani na Israeli.
Mamlaka ya Ufaransa iliwatuma wanajeshi 70,000 wa usalama kote nchini, kufuatia kukamatwa kwa watu 1,435 wakati wa maandamano ya Oktoba 24 na majeraha 1,193 ya polisi na polisi yalirekodiwa tangu Oktoba 17.
Ujerumani pia ilishuhudia maandamano yaliyoenea, huku maelfu wakikusanyika Berlin, Cologne, Frankfurt, Munich na miji mingine. Polisi walifuta maandamano yaliyopangwa huko Cologne dhidi ya waandamanaji waliovaa barakoa na vifaa vya kupigia debe, ingawa mamlaka ya Ujerumani iliripoti kwamba maandamano yalibaki ya amani kwa kiasi kikubwa.
Wakati huo huo, machafuko yalienea hadi Italia, ambapo waandamanaji waliweka vizuizi vya moto karibu na Colosseum ya Roma wakati wa migomo ya kitaifa Ijumaa, na kusababisha watu 8 kukamatwa.
Tatizo si Wahamiaji bali Magaidi ya kiarabu!!
Wageni wasio na shukran wametoka kwao sababu ya ugumu wa maisha halafu wanaenda kushinikiza maisha bora ugenini
Usiseme tatizo ni Wageni, sema tatizo ni Waarabu hata kama inauma.
Wapumbavu nyinyi mnajua hata siasa za ufaransa?Onyesha neno muislam katikq koment yangu mimi nimeongelea migrants bila kujali race wala ethinicity zao get a life mazafakq
Changamoto ya sasa huko ulaya na dunia kote ni gharama ya maisha kuwa juu iliyochagizwa na mafuta kupanda bei.Mapigano mapya ya vurugu yalizuka kote Ufaransa leo huku waandamanaji wa Kiislamu wenye msimamo mkali wakipita Paris, Lyon na Bordeaux.
Huko Paris, waandamanaji walirusha fataki, makombora na vinywaji vya Molotov kwa polisi, huku maafisa kadhaa wakijeruhiwa. Video zinaonyesha miali ya moto ikimfunika afisa mmoja kufuatia mlipuko,
Huko Lyon, waandamanaji walikanyaga na kuchoma bendera za Marekani na Israeli.
Mamlaka ya Ufaransa iliwatuma wanajeshi 70,000 wa usalama kote nchini, kufuatia kukamatwa kwa watu 1,435 wakati wa maandamano ya Oktoba 24 na majeraha 1,193 ya polisi na polisi yalirekodiwa tangu Oktoba 17.
Ujerumani pia ilishuhudia maandamano yaliyoenea, huku maelfu wakikusanyika Berlin, Cologne, Frankfurt, Munich na miji mingine. Polisi walifuta maandamano yaliyopangwa huko Cologne dhidi ya waandamanaji waliovaa barakoa na vifaa vya kupigia debe, ingawa mamlaka ya Ujerumani iliripoti kwamba maandamano yalibaki ya amani kwa kiasi kikubwa.
Wakati huo huo, machafuko yalienea hadi Italia, ambapo waandamanaji waliweka vizuizi vya moto karibu na Colosseum ya Roma wakati wa migomo ya kitaifa Ijumaa, na kusababisha watu 8 kukamatwa.
Mbarikiwa Mwakipesile kupewa tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2027???
Shikamooni,habarini..Mch Mbarikiwa Mwakipesile ni miongoni mwa watu wachache wanaojipambanua kuihubiri INJILI ya kweli (INJILI kwa vitendo) duniani kote na pengine ni mhubiri pekee anayehubiri INJILI ya kweli pekee kwa Tanzania.
Naandika kuwa atakuja kupata zawadi ya Nobel ya amani ambayo kiuhalisia huangalia watu wanaogusa maeneo mbalimbali ya kimaisha.
Tuonekwanza maana ya tuzo hii
Tuzo ya amani ya Nobel ni tuzo ya kimataifa yenye heshima kubwa inayotolewa kwa mtu, kikundi, au shirika lililofanya kazi kubwa zaidi au bora zaidi ya kukuza udugu kati ya mataifa, kupunguza au kufuta majeshi, na kuandaa au kuendeleza mikutano ya amani
Miongoni mwa sababu zitakazomfanya Mch Mbarikiwa Mwakipesile kupewa tuzo hii
1.Kutokulipiza kisasi
2.Kuwa mhubiri pekee ambaye Yuko tayari kuwa na utajiri mdogo kuliko washirika wake
-mfano, Nimeona muumini wake Robert Mwaikwila(samahani kama jina la pili limekosewa) mumoja akitajwa kwa utajiri mkubwa zaidi ya Mbarikiwa Mwakipesile ambaye ni MCHUNGAJI wake miaka mingi na siyo kwamba alimkuta na utajiri HUO
3.Anafundisha sana "umhimu wa utu" katika kila akihubiri
-binafsi ukiniuliza lengo kuu la Mch Mbarikiwa Mwakipesile kuihubiri INJILI nitakujibu kuwa anahubiri Ili watu wote wawe na utu
4.Ameandika vitabu vyenye mvuto wa kidunia ambapo
Ameandika vitabu vya;
A. WANADINI NDIO KIKWAZO KIKUU CHA UKOMBOZI HALISI WA WANADAMU DUNIANI
B.SOLUTION (SULUHU):Nina SULUHU la nini kifanyike ili duniani pawe salama na pazuri kuishi kuliko ilivyo sasa
5.Ameimba nyimbo zenye mguso wa kweli kiroho na kimwili
Kwaufupi ndivyo niwazavyo