Hilo Swali la kijinga sana hapa Unaongelea Ufaransa kuvuna walichokipanda na Sijui wewe Unaongelea waarabu wa Afrika ipi na Kama Unaongelea Afrika ya Tanzania au Kenya au Uganda wakifanya ujinga huo wanaweza kupotezwa
Ufaransa wao wana Haki za Binadamu mtu yeyote anaweza fanya chochote ikiwemo kuandamana na ukalindwa sasa wewe Waambie waarabu wako wafanye hapa kwetu wakione Kilichomfanya kuku asikojoe!!