Ufaransa yashika namba moja katika viwango vya FIFA, Tanzania yawa ya 140

bora tungeshika mkia tu. hapo wametuonea sana, sio nafasi yetu hiyo.
 
Duh FIFA wanataka kutuaminisha France wametuzidi Tanzania kisoka?
 
Haya nayo ni mafanikio ya serikali ya wanyonge ya awamu ya tano. Tutembee kigua mbele. We're on the rait trak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…