bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Mar 6, 2011 #1 WanaJFnaomba mnitoe katika utata wa maneno haya mawili.kwenye tukio la mlipuko wa mabomu pale Gongo la mboto baadhi ya vyombo vya habari hutumia maneno haya: A: WAHANGA wa mabomu B: WAATHIRIKA wa mabomu je neno lipi ni sahihi kutumika?
WanaJFnaomba mnitoe katika utata wa maneno haya mawili.kwenye tukio la mlipuko wa mabomu pale Gongo la mboto baadhi ya vyombo vya habari hutumia maneno haya: A: WAHANGA wa mabomu B: WAATHIRIKA wa mabomu je neno lipi ni sahihi kutumika?
Ibnu Ayoub Member Joined Mar 4, 2011 Posts 78 Reaction score 0 Mar 7, 2011 #2 Waathirika wa mabomu ndio sahihi. kwa uelewa wangu ninadhani kusema "wahanga" ni kama hao walioathirika na mabomu wamejitakia
Waathirika wa mabomu ndio sahihi. kwa uelewa wangu ninadhani kusema "wahanga" ni kama hao walioathirika na mabomu wamejitakia