Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshauri aende VETA chaaap kozi ya umemehabari za humu?
Huyu dogo amepata three ya 23 na matokeo kama ifuatavyo;
Civic-D,hist-D,b/math-F,eng-D,biology-C,kiswahil-B,physics-D,chemistry-D
Nashukuru kwa wazo zuri mkuuMuulize yeye anataka nini? na kufeli madarasa sio hana akili,inawezekana kuna kitu anajua sana na anependa sana kukifanya ila wazazi wa bongo kwa kujiona wanajua na kupenda kulazimishana cha kufanya mwisho wake ni majanga tuu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂habari za humu?
Huyu dogo amepata three ya 23 na matokeo kama ifuatavyo;
Civic-D,hist-D,b/math-F,eng-D,biology-C,kiswahil-B,physics-D,chemistry-D
Nursinghabari za humu?
Huyu dogo amepata three ya 23 na matokeo kama ifuatavyo;
Civic-D,hist-D,b/math-F,eng-D,biology-C,kiswahil-B,physics-D,chemistry-D