Ufaulu huu anaweza kusoma kozi gani nzuri ya afya?

Kwitogelo

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2023
Posts
310
Reaction score
442
habari za humu?

Huyu dogo amepata three ya 23 na matokeo kama ifuatavyo;

Civic-D, Hist-D, B/Math-F, Eng-D, Biology-C, Kiswahil-B, Physics-D, Chemistry-D
 
Muulize yeye anataka nini? na kufeli madarasa sio hana akili,inawezekana kuna kitu anajua sana na anependa sana kukifanya ila wazazi wa bongo kwa kujiona wanajua na kupenda kulazimishana cha kufanya mwisho wake ni majanga tuu
 
Nashukuru kwa wazo zuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…