ze jackal
JF-Expert Member
- Nov 13, 2013
- 528
- 174
Kwa sasa ku-fail Ni option ya mwanafunzi mwenyewe na dent kipanga aliyeishia Form three(3) kwa shule kama Feza,Marian au zile St.lazima apige Division 2.
Check Alama walizotumia:
A 75-100
B+ 60-74
B. 50-59
C. 40-49
D. 30-39
E. 20-29
F. 0-19
Mpangilio mpya wa MADARAJA:
Daraja. Points
l. 7--17
ll. 18--24
lll. 25--31
lV. 32--( )
O. ( )--49.
Hapo kwenye mabano patatolewa ufafanuzi na Kawambwa mwenyewe maana Kuna Div 4.44 na Div 0.44 PIA Kuna Div 4.42,Div 0.42.etc
Hebu cheki matokea ya MANYUNYU SEC S0271.ni ile list ya kwanza (green color) hii Ni sample Tu lkn shule zote nilizopitia wameMULUGOLIZE hivyo.