Ufaulu huu wa kidato cha nne hadi ngapi unaenda kidato cha tano,na ngapi kusomea ualimu wa primary?

Ufaulu huu wa kidato cha nne hadi ngapi unaenda kidato cha tano,na ngapi kusomea ualimu wa primary?

for government school lazima uwe na division 3 yenye pass zisizopungua tano ambamo ndani yake lazima uwe na credit 3 ...!
credit include : A-C
pass include :A-D

example
C,B,C,D,D ana sifa ya kwenda gorvenment high school as long as ana division 3

Mkuu Darius shule zitakuwa tupu....watu wamewekewa C 40-49 bado wamesanda
 
Last edited by a moderator:
sasa huyu ana hv bios c geo c chem d eng c hist d anaenda wap!? Nipeni msaada wajameni anapenda kusoma
 
sasa huyu ana hv bios c geo c chem d eng c hist d anaenda wap!? Nipeni msaada wajameni anapenda kusoma

kama ana division 3 anaweza akapata government school bt kama hana private school inamuhusu...!bt sifa za kwenda advance anayoo
 
amepata div four ya 32 hapo vipi? Na kombi zpo hv cbg DCC au hgl DCC goverv vip na je kama ni privat ada inaweza kurange katkika sh ngap?
 
Mi sijaelewa wanavyo panga madaraja. Mwingine kapata point 42 kawekewa 0 na mwingine 42 kapewa div 4. Hapa ndo nin?

kwa upande wa 0 kama mwanafunzi hana C hata 1 anapata zero ila kama ana japo C 1 na mengine yote amepata E anakuwa amepata div 4
 
Nimemaliza form four 2011,nkapata div 3-21,his C,geo B,Lang C,kisw D math D civ C bio C,bahati mbaya advanc sikumaliza ada ikakatika,mwaka hu naweza apply chuo?IT engneering?
 
this time really its difficult to predict what was already planned by ministry of education. cha muhimu ni kusubiria tujue mwafaka wa big result now (ie the difference btn F and E)
 
mr mwaziri you can. but you will persue diploma in IT for two or three years
REMEMBER DIPLOMA
 
watanzania tulivyo watu wa ajabu badala ya kureact juu ya huu upuuzi si twachekelea tu.
 
Duuuh Wizara ya Elimu basi tena hakuna kitu kabisa. Kwa upuuzi huu na mwingine mwingi kwenye elimu, R.I.P Elimu ya Tanzania wananchi tulikupenda lakini Kawambwa amekupenda zaidi!!!!
 
kwa upande wa 0 kama mwanafunzi hana C hata 1 anapata zero ila kama ana japo C 1 na mengine yote amepata E anakuwa amepata div 4

Kweli hii serikali ya Juha.kwa hiyo unapewa adhabu kwa nini ukose 'C'.
 
Duuuh Wizara ya Elimu basi tena hakuna kitu kabisa. Kwa upuuzi huu na mwingine mwingi kwenye elimu, R.I.P Elimu ya Tanzania wananchi tulikupenda lakini Kawambwa amekupenda zaidi!!!!

.
Afu thread nzima yaaani n
.
Still mna msema kawambwa kwamba yeye ndiye anae hujumu elimu ya Tz
.
Some one with Clear mind can't do that....
.
Hayo madudu yote hayawezi kuamuliwa na mtu mmoja Kwamba KAWAMBWA ndiye anae amua kwamba Nataka maksi hizi zitumike!
.
Its doesn't make sense hapo mla kuku kwa MLIJA anahusika sana pamoja na silikali ya sisiemu!
 
Back
Top Bottom