M Mohamed chakale New Member Joined Apr 16, 2024 Posts 2 Reaction score 0 Apr 18, 2024 #1 Hivi Tanga technical school advance wanachukua kuanzia ufaulu upi?
M Mkereketwa wa NAZI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 1,048 Reaction score 2,449 Apr 18, 2024 #2 Ufaulu ambao serikal umeweka ivo vigezo
M Mohamed chakale New Member Joined Apr 16, 2024 Posts 2 Reaction score 0 Apr 19, 2024 Thread starter #3 ndo nilikua nauliza hivo vigezo mkuu
Kijibabu JF-Expert Member Joined Apr 3, 2016 Posts 483 Reaction score 622 Apr 25, 2024 #4 Tanga tech sio special school, ipo level moja na shule nyingine zote za serikali zinazotoa elimu ya A level. Nadhani kigezo ni C3 kwenye masomo ya tahasusi husika.
Tanga tech sio special school, ipo level moja na shule nyingine zote za serikali zinazotoa elimu ya A level. Nadhani kigezo ni C3 kwenye masomo ya tahasusi husika.