Ufaulu mbovu Kidato cha Nne: Serikali yawavua ukuu wa shule walimu kadhaa...

Ufaulu mbovu Kidato cha Nne: Serikali yawavua ukuu wa shule walimu kadhaa...

Baheta

New Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Serikali imewavua uongozi walimu wakuu kufatana na matokeo mabovu ya mtihani wa taifa 2013(tz)
 
Mbona habari yako haijitoshelezi? Wakuu wa shule zipi? Lini hilo Tangazo limetoka? Tupe source.
 
Ni mtihani wa taifa wa 2012.
Sidhani kama suruhisho ilo ni sahihi... Okay, ngoja tuone kama it will work kwa madogo hawa
 
Hawajasikia hao wajawazito wa msingi pamoja na headteacher? Wanakazana tu kuwaondoa hao wa sec.
 
Serikali imewavua uongozi walimu wakuu kufatana na matokeo mabovu ya mtihani wa taifa 2013(tz)
nina maswali yafuatayo juu ya post yako
1. Mitihani ya taifa 2013 imefanyika tarehe ngapi?
2. Shule zipo zimekumbwa na hili?
3: walimu wakuu akina nani wamekumbwa na hili?
4. Walimu wakuu wangapi wamekumbwa na hili?
 
Habari haijakamilika.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ndio tatizo la kuleta masuala ya fb kwenye "home of great thinker"
 
tafadhali taja hizo shule ambazo wakuu wa shule wamevuliwa madaraka na mikoa yao au wilaya
 
Kwanza watu hawapendi huo ukuu wa shule maana mtu akiwa mkuu wa shule kwenye baadhi ya hizo shule anatumia mshahara wake kuendesha baadhi ya shughuli za shule
 
Serikali imewavua uongozi walimu wakuu kufatana na matokeo mabovu ya mtihani wa taifa 2013(tz)

Aaah sawa kabisa kumbe
mtihani wa Taifa 2013@ uliofanya wewe na Familia yako Eeh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom