nina maswali yafuatayo juu ya post yako
1. Mitihani ya taifa 2013 imefanyika tarehe ngapi?
2. Shule zipo zimekumbwa na hili?
3: walimu wakuu akina nani wamekumbwa na hili?
4. Walimu wakuu wangapi wamekumbwa na hili?
Kwanza watu hawapendi huo ukuu wa shule maana mtu akiwa mkuu wa shule kwenye baadhi ya hizo shule anatumia mshahara wake kuendesha baadhi ya shughuli za shule