Ufaulu wa darasa la saba kuingia kidato cha kwanza

Ufaulu wa darasa la saba kuingia kidato cha kwanza

KENET

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
259
Reaction score
86
Kuna hili ambalo sikubaliani nalo labda sijui au ni kwa kutokuelewa labda ningepata wachangiaji nao wakachangia.Mtoto anafaulu darasa la saba anapata alama ya A masomo yote-Grade A. Na wengine wengi wana Grade A lakini wote wanapangiwa kuendelea kidato cha kwanza kwenye shule za kata. Ukiuliza unaambiwa Serikali ilitangaza kwamba wote wanaosoma shule za Private watapangiwa shule za kata na wale waliosoma shule za Serikali watapangiwa Serikalini hata kama ufaulu wao ni mdogo.Je hii ni halali hata kama huyo wa private amemzidi alama za kufaulu yule anayesoma shule za Serikali?
 
Sijaelewa tofauti kati ya shule za kata na shule za serikali.
 
Back
Top Bottom