Ufaulu wa kidato cha Sita 2013. Mwisho wa tetesi leo

Josevic

Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
19
Reaction score
11
Baada ya kuwa na habari nyingi na tofauti tofauti kwa muda mrefu, leo tunafikia kikomo. Ni kweli kwamba matokeo yana asilimia 99 ya kutoka leo kama ukifuatili historia. Kwa miaka mitatu iliyopita matokeo ya kidato cha sita yamekuwa yakitolewa tarehe 1 mei. Ila kama historia isipojirudia basi tetesi za hapa na pale kuhusu matokeo na ufaulu wa kidato cha sita zitakuwa zimefikia kikomo leo alasiri.
 
no one is sure bout when the results r comin....we jux av to chill tusubirie when will it kam...koz mpaka saa hivi saa kumi na dakika 13 hayajatoka....ila siku haijaisha tusubirie........
 
Hivi kwa nini kutoka kwa matokeo ya huo mtihani kuwe ni kitendawili?
 
wory out guyz....just weit soon result wili be out!!
 
Matokeo ni kitu nyeti sana... Pengine hawataki ionekane kuwa siri zao zinavuja!
 
Narudia tena..
Kabla bunge halijatulia hakuna matokeo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…