Ufaulu wa kidato cha Sita 2013. Mwisho wa tetesi leo

We should have strong hearts haya matokeo yatatoka ratiba zao zitakaporuhu.
 
Nina wasi wasi kuhusu kutoka kwa matokeo hivi karibuni katika misingi ifuatayo serikali kupitia bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania chini ya waziri wa sera na uratibu wa bunge MH.Willium Lukuvi kupitia tume iliyoundwa na waziri mkuu MH.Mizengo Pinda kuwa matokeo ya form 4yafutwe na pia wastanderdize na kupanga upya matokeo hayo katika madaraja ya zamani yaliotumika mwaka 2011 na hili zoez linawahusu form 4na form 6 wa mwaka huu sasa tujionee wenyewe je?kwa hali hii matokeo ya kidato cha sita yatatoka mapema kweli kama wakiwa wametumia madaraja mapya ya ufaulu kama ilivyo bainiwa na tume iliyoundwa na waziri juu ya uchunguzi wa matokeo ya kidato cha nne???
 
maadam tokeo la kdat cha 4 yashtoka,bax ya kidato cha 6 yapo mbion.'a don thnk dat diz wik itakwshw bila tokeo kutangazw.' xo zile preshpresh na tabir nyingnying zitkuwa zmefk kikom...#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…