ufaulu wa kwenda form 5

ufaulu wa kwenda form 5

johnny567

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
22
Reaction score
9
wana wa jamii forum naomba mnisaidie eti ukiwa na d kwenye combi unayotaka unaweza kwenda form 5 shule za private
 
shule za private nyingi wanataka credit tatu tu.tena mfano unasoma HGE hatakama una credit ya kiswahili,mathematics na geog alafu history una d unasoma tu ndugu.ila baadhi ya shule wanataka combination yako zisizidi point tisa.
 
je kama unataka kusoma pcb alafu una d ya chem. lakini b ya math na c ya phy na bio inakuaje hiyo
 
Angalia website ya necta nadhani sasa form V ni credit tano.
 
je kama unataka kusoma pcb alafu una d ya chem. lakini b ya math na c ya phy na bio inakuaje hiyo
kijana shule za private wanakuchukua kabisa yaani hapo mbona unachukuliwa,ilimradi tu credit nyingine yeyote uiongezee hapo ziwe tatu.hata kama una A mbili si kigezo ilimradi tu ziwe c tatu
 
Ili u qualify kufanya mtihani wa necta wa ACSEE unahitaji kuwa na credit 3 tu haijalishi ni masomo gani hata ukiwa na C ya Civics,Biology, na Kiswahili na mengine yote ukalamba D au F bado una qualify kusoma advance japo kwa government utakosa sababu ya ushindani ila private utapata na utasoma combi uitakayo.

Ila hata uwe na A au B 2 alafu masomo mengine ukapata D au F hauta qualify kusoma advance coz utakuwa na credit mbili itakulazimu ukasome vyuo upate certificate uweze kuendelea na diploma.
 
kwahiyo nikiwa nataka combi ya PCB nikiwa na d ya chemia haina shida cio.
lakini nasikia italeta matatizo kwenye necta kwa sababu ya credit ya chemia sina.
 
je?, vipi kama nina credit 3 zilizobalance combination , na nikawa nina dv four let say,
serikali inaweza kunichukua?, kama wale waliofanya vz zd.
 
haahaahaa kwa serikali dogo lazima uwe na division isiopungua III. yenye pass 5 ambamo ndani yake uwe na credit 3 .
 
Mwanangu ana division 3 ya point 29
Civics B
History C
Geography D
Kiswahili C
English C
Chemistry D
Biology C
Physics D
Agriculture D
Basic Math D
He anaweza kuchaguliwa kwenda F5 na combination gani inamfaa.
 
mwanangu ana division 3 ya point 29
civics b
history c
geography d
kiswahili c
english c
chemistry d
biology c
physics d
agriculture d
basic math d
he anaweza kuchaguliwa kwenda f5 na combination gani inamfaa.

hapo ni kama hkl
 
Mwanangu ana division 3 ya point 29
Civics B
History C
Geography D
Kiswahili C
English C
Chemistry D
Biology C
Physics D
Agriculture D
Basic Math D
He anaweza kuchaguliwa kwenda F5 na combination gani inamfaa.

Anaxoma yeyote,ila muache achague aipendayo
 
Mwanangu ana division 3 ya point 29
Civics B
History C
Geography D
Kiswahili C
English C
Chemistry D
Biology C
Physics D
Agriculture D
Basic Math D
He anaweza kuchaguliwa kwenda F5 na combination gani inamfaa.

HGE ...!inaonekana hesabu ni tatizo kwake
but BAM anaweza akaimudu kidogo
 
Back
Top Bottom