Kweli ndio maana masomo ya sayansi yamemchenga lakini Geo ana D je haitakuwa kikwazo kwa HGE na kweli ningependa hiyo HGEHGE ...!inaonekana hesabu ni tatizo kwake
but BAM anaweza akaimudu kidogo
wana wa jamii forum naomba mnisaidie eti ukiwa na d kwenye combi unayotaka unaweza kwenda form 5 shule za private
.
- Unasemaaaaaaaa?
.[/
- Unasemaaaaaaaa?
wana wa jamii forum naomba mnisaidie eti ukiwa na d kwenye combi unayotaka unaweza kwenda form 5 shule za private