AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Ohhh UFC sio soccer Mzee...ni mchezo wa masumbwi..Kik boxing..na karate kwa ujumla wake..huu hakuna script kama mieleka ya WWE huu mtu unapigwa hadi unaomba pooMbwana Sammata yuko hapo Ubelgiji, anawakilisha vema.
Ohhh UFC sio soccer Mzee...ni mchezo wa masumbwi..Kik boxing..na karate kwa ujumla wake..huu hakuna script kama mieleka ya WWE huu mtu unapigwa hadi unaomba poo
Yeah kama Hugo lesnar alikuwa kitammbo sana hukoo kapigana haswa jamaaWwe pia Kuna Watu Wametoka UFC, Kama Ronda Rousey, Brock Lesnar
Dah nalingoja kwa hamu sana aisee..itakuwa bonge LA fight ..aiseeKamaro Usman ndo balaa huyu manaigeria hana mchezo kabisa. Ngoja tusuburi Kati ya Jon Jones na Israel Adesanya kama ili pambano litatokea kweli.
WWE ni maigizo maigizo tu hamna uhalisiaHii ndio REAL FIGHTING sasa sio yala maigizo ya WWE