Sijui anahofia nini maana sioni wa kumpiga, angepigana walau la mwisho na Conor ili ajichotee mihela ya bure maana najua hawezi kumpigaHe did it. Khabib wins by submission in second round.
Dah analia kabisa akimkumbuka baba ake. Na anasema basi ana retire. 29 fights winning all. Age 32 ni mapema mno ku retire. Maybe atarudi kwa cage tena.
Namshangaa sana aisee.Sijui anahofia nini maana sioni wa kumpiga, angepigana walau la mwisho na Conor ili ajichotee mihela ya bure maana najua hawezi kumpiga
Mzee subiri kukuche ndio uandike maana kama umekurupuka usingizini flani.Adesanya Jana alishinda!?