Ufedhuli wa uzushi; sasa wanapingana wenyewe kwa wenyewe

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Anayejiita she he Mwaipopo anatoa tuhuma nzito kwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA kamanda John Heche kapewa pesa tasilimu na mfanyabiashara kada wa ccm kiasi cha dola laki 2 kamaTsh 520,000,000 hivi
Kajitokeza Nilesh kakana na kutoa tuhuma kwamba kuna watu walimuomba hela akagoma kuwapa hivyo wameamua kumtengenezea kashfa

Sasa kajitokeza Shehe mkuu wa Bakwata na kumtetea Nilesh kwamba ni mwanaccm na ni mdau wa amani kwahiyo hawezi kutoa pesa yake kuwapa CHADEMA/Heche makamu wa CHADEMA!

Ukiachana na michanganyo yao unapata picha gani kwa hawa watu watatu?
Kwamba CHADEMA si wapenda amani
Kwamba CHADEMA hawapaswi kusaidiwa na wengine

Kwamba CHADEMA ni chama kinachotazamwa kwa jicho la hasi na imani fulani
Kwamba ni dhambi, ni kashfa ni uhaini na ni kuchafuka kaka ukijinasibisha na CHADEMA

Haya mambo yasipodhibitiwa sasa tuendako kunatisha sana

https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/183ejSL3vg/
 
Ni wazi tulipofikia pabaya na pabaya zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…