Habari zenu Wadau.....
kama kuna yeyote mwenye data juu ya kiwanda cha uzalishaji wa Zana za Kilimo cha Ufi kilichopo Ubungo naomba anijulishe....Kuna kipindi kilikua kimesimama uzalishaji. so nanchoomba niyeyote mwenye deatils juu ya kiwanda hiki...Kinazalisha??? na kama yes kinazalisha vifaa gani vya kilimo???
Natanguliza Shukurani.
Mdau